Wassira: UKAWA msiporudi CCM tutaendelea

Ameyasema hayo bungeni hivi punde kwamba Ukawa wasiporudi CCM wataendelea na vikao kwa kutafuta akidi itakyokidhi kanuni.
View attachment 158428
Miongoni mwa kauli za hovyo kabisa ambazo amewahi kutoa Wassira, basi ya leo inaweza kushika chati.

Ukawa wanazo hoja za msingi kabisa za kutoka kwenye bunge la katiba nazo ni pamoja na CCM kutaka kuitia kapuni Rasimu ya katiba ya Tume ya Mário iliyotokana na maoni ya wananchi na badala yake kutaka `kuchomeka` katiba yao yenye maoni ya vigogo wa CCM waliopo madarakani pekee!

Sasa kwa mazingira hayo yeye Wassira anataka ukawa warrudi kwenye bunge la katiba ili wawasaliti wananchi waliotoa maoni yao yaliyomo kwenye Rasimu ya katiba ambayo maccm wanataka kuitia kapuni?!

Kwa kuwa yeye Wassira ameshautangazia umma wa watanzania kuwa wapo tayari kuchakachua kanuni zinazohisu quoram kwa lengo moja tu la kupitisha Rasimu yao mbadala ya CCM, basi ni bora waendelee na nia yao hiyo ovu, badala ya kutaka kutishia nyau, wakidhani kuwa ukawa watatishika na huyo nyau wake Wassira, anayewatishia naye.
 
Hongera sana Wassira kwa kuwapa za uso hao UKAWA
 
Ujue kuwa kwenye siasa, wengi wape. Pia ujue kwenye siasa, watu hugombana kwa hoja na si kukimbia hoja. Pia ujue kuwa CCM ndiyo yenye mamlaka ya kudictate mchakato huu kwa vile imepewa ridhaa na wananchi ya kufanya hivyo. Si hawa wanywa gongo
 
nadhani watafute mapemana hizo kanuni haturudi ngo hatauana hucuhu wa madaraka siye
 
Wassira ni kiboko yenu, hiyo picha ni tangu 2011.
 
watz tumekuwa na ushabiki tu wa kisiasa na kutoangalia maisha yetu ya baadaye. kwa sasa tunashabikia san huu mchakato wa katiba kwa misingi ya ufuasi wa uchama na tunashindwa kuangalia watoto wetu wataishi vipi kwa siku za usoni. Daima viongozi huangalia maslahi yao na familia zao na ndio maana utaona wanatunga sheria za kuwabeba wao na c mlala hoi huyu anayeshabikia kwa kupewa pombe au sh 5000.
 
Back
Top Bottom