Recent content by jenereta

  1. J

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Siku za nyuma nilikuwa nafanya mapenzi vizuri tu. Tena naweza nikapiga bao mbili mfululizo na uume unasimama vizuri tu. Lakini ghafla tu uume unasimama mara moja tu tena kwa tabu. Na nikiwa nafanya mapenzi, bao moja tu linatoka na uume unaweza sinyaa hata kabla sijaitoa au bao kutoka. Hii...
  2. J

    Dk. Magufuli ashauriane kwanza na mama Janeth kabla ya kuanza kuinadi ilani ya CCM

    Labda mkewe huyo ndio alimshauri, si anafundisha TEHAMA....! Bongo tehama ni kuwa na kompyuta tu. Mi nimsaidie tu, ukiacha mambo uliyoyataja. Waalimu tuna shida sana na kupandishwa madaraja. Akiliongea hilo tutamwelewa. Ila its too late, labda uchaguzu wa 2025.
  3. J

    Ongezeko la sperms

    Habari wanajamvi, Mi nahitaji kujua; ni vyakula gani mwanaume ukila unaongeza uwingi wa sperms kwa muda mfupi kiasi? Naomba msaada wenu please.
  4. J

    Ajila kwa walimu

    we ndio boya kweli nazoezi=na zoezi ndipi=ndipo
  5. J

    Je, naruhusiwa kupita Mikumi national park na pikipiki?

    Tarehe 16/11/2014, kuna jamaa (kwa sasa ni marehemu) alikatiza mikumi na pikipiki yake aina ya boxer, yeye alipewa ushauri kuwa akimbie mwendo kasi, akafuata ushauri huo. Alipofika Mikumi darajani, saa 8 mchana, pale kwenye mto, kuna tuta, alipita kwa mwendo.kasi sana, kwa bahati mbaya tuta...
  6. J

    Kwanini CCM wanataka Serikali Mbili, sababu za kiusalama zaidi

    Mwanzo kabisa, nilikuwa sielewi chochote kuhusu katiba mpya. Lakini siku zinavyozidi kwenda, ikanifanya nizidi kuelewa nini maana ya katiba mpya na kwanini ina changamoto nyingi. Mimi si Mwanachama wa chama chochote, ila nashabikia CHADEMA na baadhi ya Watu makini wachache wa CCM. Nataka...
  7. J

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    mche wa mbegu au mche wa nini?
  8. J

    Nimekubaliwa kuonana na rais Ikulu tarehe 5th March, 2014

    M-management B-by W-walking A-around Managegement By Walking Around. Naunga mkono jina lako, watu wanadhani majina yanaharibu akili, 0713 weee
  9. J

    FIFA yamuidhinisha Okwi kuichezea Young African

    SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limemuidhinisha mshambuliaji Mganda, Emmanuel Arnold Okwi kuchezea klabu ya Yanga ya Dar es Salaam. Katibu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Celestine Mwesigwa amesema muda huu kwamba, FIFA imewaandikia barua ikiwaambia Okwi ni halali kuchezea Yanga...
  10. J

    Alie macho Vodacom voucher hii apa

    Sio kila kwenye verb we unaongeza -ed tu, division 5 hizi.
  11. J

    Diva heshima na adabu vimekuondoa cloids change

    Utadhani mwandiko wa beki tatu
  12. J

    Hata kama hujui kusoma lazima utakuwa unajua kuangalia picha, hii picha itawaumiza sana akina Mbowe.

    unakurupuka, pale mahakamani kuna sehemu ya.wazi kubwa namna hii, zzk aliruhusiwa na askari hivyo, mwisho: alivaa koti jeusi, utaliwa 0713 ww
  13. J

    Hii ndiyo Ripoti iliyowang'oa mawaziri (Ripoti ya Lembeli)

    We ndio mkosoaji humu ndani, jadili hoja sio kujibu hoja, unakuwa kama Matayo, nyie ndio mnaoliwa 0713 na akina kinana.
  14. J

    Msaada kwa wale wanaotumia kin'gamuzu cha zuku.

    zuku sports hainyeshi ndugu. Wahuni hawa
Back
Top Bottom