ZAMBI YANGU
Senior Member
- Jul 23, 2013
- 163
- 44
Bado pinda...
anahusika vipi kwenye operation hii inayowaondoa mawaziri wadogo au ni haujui kinachoendelea?Bado pinda...
Hi nchi imechafuka kiasi hiki yaani kero tupu tunahitaji mabadiliko makubwa sio kila siku baraza jipya CCm imechoka waondoke wote
Kweli baadhi humu JF tuna upeo mdogo sana. hakuna Waziri hata mmoja aliyejiuzulu ambaye katika operation hiyo alibaka, kupora, kunyang'anya wala kuua. wamejiuzu kwa sababu hawakusimia kama viongozi zoezi zima. Tuwe makini tunachangia mada na kama unaona viatu vya JF na hasa jukwaa la siasa vinakupwaya bora usivivae unaweza kingia majukwaa mengine kama ya mapenzi.ukiacha malengo walipangiwa wao walifuta na kuweka yafuatayo;
1. mauaji ya raia wasio na hatia -mama yetu wa Galapo
2. ubakaji
3.uporaji
4.unyang'anyi wa silaha za hali
5. kuwalinda na kutowapughudhi well placed individuals
6. kuonea wanyonge wasio na kinga
Kumbe wakati mwingine unaweza kuwa na mawazo mazuri?Kwa ripoti hii,
Sio mawaziri tu7, wengi wanatakiwa wajiuzuru na wengine wafikishwe mbele ya sheria
Hii ndio tabu ya kukabidhi wanajeshi operesheni, hii kazi ilitakiwa ifanywe na polisi wanaojua sheria sio vita.
Ushabiki wa kisiasa pembeni, sheria na haki za binadamu zilikiukwa kwa kiasi kikubwa sana.
Naiomba serikali iwafikishe mbele ya sheria wale wote waliokiuuka haki za binadamu na kuvunja sheria za nchi
Siku zote Chris Lukosi ni mtu wa kusimama katika ukweli, na ndiyo maana mashabiki wengi wa CDM wanamchukia humu JF kwa sababu anawapiga za ukweliKumbe wakati mwingine unaweza kuwa na mawazo mazuri?
Haya huwa nayasikia Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Kumbe hata Tanzania tumefikia hapo!
Naipogeza kama kwa utendaji wao mzuri. Mzee wang Lambeli nakushukuru kwa kulitumikia taifa ktk viwango vya juu sana.
Najua ktk utendaji huu unakutana na vipangamizi vingi ila kumbuka mwenye haki ulindwa na Mungu si wanadamu.
Sasa we kauzu ni lazima ukopi habari yote?Kuwajibika kwa manufaa ya Umma ni jambo jema. Hongereni Mawaziri wahusika kwa hatua mlizochukua na muwe mfano wa kuigwa katika dhana nzima ya uwajibikaji. Hongera mh. Rais kwa kukubali hatua hizo kuchukuliwa. poleni wote mliokumbwa na kadhia ya operation tokomeza majangili
Bila mtandao wa ujangili kuvunjwa na Kinana kuwajibika yote haya yatakuwa ni porojo tu mazingaombwe ya mchana kweupe!
Hiyo ndiyo CCM bwana, siyo Majungu ya CDM, hongera sana LEMBELI.
Sasa we kauzu ni lazima ukopi habari yote?
JK ndo mzigo wa kweli
Utafikiria ni kama hii haikufanyika tz. Ni mbaya sana. Machozi.
anahusika vipi kwenye operation hii inayowaondoa mawaziri wadogo au ni haujui kinachoendelea?
Kuwajibika kwa manufaa ya Umma ni jambo jema. Hongereni Mawaziri wahusika kwa hatua mlizochukua na muwe mfano wa kuigwa katika dhana nzima ya uwajibikaji. Hongera mh. Rais kwa kukubali hatua hizo kuchukuliwa. poleni wote mliokumbwa na kadhia ya operation tokomeza majangili