Msaada kwa wale wanaotumia kin'gamuzu cha zuku.

Msaada kwa wale wanaotumia kin'gamuzu cha zuku.

mtunyeni

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
26
Reaction score
0
Jaman hv zuku huwa hawana chanel zinazoweza kurusha mipira ya nje kama vile klabu bingwa UEFA?.
 
Nami naomba msaada nimefunga king'amuzi cha zuku lakini Channel zinazokamata ni chache tu tena za nje. Sasa ni siku ya nne nasubiri Kama alivyonielekeza fundi aliyefunga lakini bado Channel ni zile zile. Naombeni msaada.
 
ebhane zuku mie natumia lakin sijawah jaza bundle ya zaid ya tsh.16000..lakin nahis lazima itakuwepo cheno inayonesha mfano zuku sports HD...
 
Nami naomba msaada nimefunga king'amuzi cha zuku lakini Channel zinazokamata ni chache tu tena za nje. Sasa ni siku ya nne nasubiri Kama alivyonielekeza fundi aliyefunga lakini bado Channel ni zile zile. Naombeni msaada.

ujue hamja search frequency zote...
 
Jaman hv zuku huwa hawana chanel zinazoweza kurusha mipira ya nje kama vile klabu bingwa UEFA?.

swali ulilouliza ni TASHTITI, yaani ni RHITORICAL QUESTION, ungejua usingefunga king`amuzi hiki, hawana ishu hawa, harafu ni matapeli wakubwa. Mimi nilifunga nikatoa baada ya miezi minne hivi, hawana channel hata mmoja ya kuonyesha mechi, tjough wana channel ya ZUKU SPORTS, yenyewe inarudia game zilichochezwa na kurusha baadhi ya games za france (mara moja moja sana)
Ipo channel nyingine inaitwa SENTATA, na wao hawana ishu kbs, wanarudia game tu, ya movie za bongo ndio utumbo mtupu, wanaonyesha movie za 2004 huko.
Nadhani channel nzuri za Zuku ni Clouds kwa kuwa wanapiga piga mziki wa kizazi kipya kama unapenda, tbc na channel ten, citizen, na nyingine chache sana. HAWANA MPYA, mi nikaamua kufunga dstv kwa hasira. Hawa zuku wanaliwa 0713
 
Nakubaliana na wewe Jenereta, kwa 100% kwani hata mie nilifunga mwisho nikatoa tu mpaka leo lipo tu ndani. Hawana issue kwani hata channel za ndani zilikuwa TBC1, channel ten na Clouds, cjui kama wameshaongeza. Halafu ukichelewa kulipa wanakata zote hata za ndani ambazo ni free. Kwa kweli hawa ni matapeli. Niliamua kufunga Star times nikaona ni nafuu ya mgonjwa. Juzijuzi kuna mama alinipigia toka Kenya akiniuliza mbona sipo hewani muda mrefu, nikamwambia mpaka mrekebishe huo utumbo wenu ndo nitafunga tena. Kasema watayashughulikia. Nasubiri
 
Kiukweli tangu mambo ya DIJITALI yaanze ni Vurugu2! mm natumia DSTV,ZUKU na DISHI la Free Chanel,lkn hakuna kisimbuzi nnachoweza kupata angalau local chanel zote kwa pamoja Wengine tulitegemea AZAM wangerekebisha hili hata km Bei ingekuwa KUBWA bt unapata Local chanel zote kwa pamoja watu wangenunua2! Ili kupunguza hii Adhabu lkn nao hakuna kipya! Kwa sasa ili upate Local chanel zote yapasa uwe na kiGHOROFA cha viNG'AMUZI ndani sasa sini UTUMWA huu!
 
Asante kwa hoja na mawazo mazur co siri wanaboa sna hawa zuku tujaribu kuwapigia huenda wakaboresha huduma.
 
Angalau TING kuna local channel karibu zote isipokuwa capital, mlimani tv na tumaini
 
Angalau TING kuna local channel karibu zote isipokuwa capital, mlimani tv na tumaini

Ndg yangu kwa sasa haitakiwi mambo ya Afadhali kampuni flan.Nawalaumu sana AZAM TV manake wamepoteza Fulsa nzuri sana ya Biashara 7bu walishaona wenzao walipokosea.Naamini hata bei ingekuwa juu watu wangejinyima2 ilikupunguza hii adhabu kiukweli ukifika kwangu utadhani ni TV STATION DISH zilivyojipanga Nway ndo TZ yetu hii!
 
Hapa ndio nashindwa kuelewa nyie wenzangu kwanini usiombe kujuzwa gharama/ mpangilio wa wa vifurushi na huduma zitolewazo kabla ya kufikia hatua ya malipo?

Majibu ya hayo maswali yote yanaweza jibiwa kwa njia ya simu za ofisi husika au kupitia mawakala wao.

Tukifanya hivyo itasaidia kufanya maamuzi sahihi na kupunguza mfadhaiko pindi unapojikuta unalipia huduma usiyohiitaji.

*Ni mtazamo tu..
 
Back
Top Bottom