Nilishakujaga hapa kipindi cha mwaka 2017 na namshukuru Mungu alinipa mume mwema.
Nina binamu yangu anahitaji mume au mwanaume ambaye watakubaliana kupata mtoto/watoto ila wote watakuwa na jukumu la kuwalea wote hata kama hawataishi pamoja kama upo serious naomba unijie inbox.
Yeye anaumri...
Habari yako,
Nimefurahi kuona thread yako mimi niko serious sana na hili japo sina uhakika kama umeshapata au bado na mimi ni 34 siyo 35 na pia sina mtoto. Kama tayari umeshapata naomba unijulisha na pia kama bado ningefurahi tufahamiane tuone itakavyokuwa.
I'm very sorry na nashukuru kwa kunikosoa: Mimi ninamiaka 32 na ninayemuhitaji awe na umri wa kuanzia 33-43, hayo mengine ni mawazo yako tu na yote nashukuru maana nawewe umechangia.
Re: ADVERTISMENT
More than serious nahitaji mume wandugu
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na...
Wana JF nawasilimu wote. Kwanza samahanini maana hii najua haitawahusu wote maana hapa tupo watu wa dini na mitazamo tofauti. Jana nilienda kwenye mkutano wa Mwakasege na nilipata mafundisho mazuri sana kuhusu maombi. Mwalimu alifundisha mambo mengi sana na akagusia swala la kuoa na kuolewa...
Jamani wana JF nawashukuru wote kwa ushauri wenu, najisikia vizuri kwamba kuna watu wameelewa kwamba niko serious na wengi wenu mmenishauri vizuri. Nazidi kuwaomba mzidi kuniombea ili niweze kukamilisha hili zoezi na ninauhakika nikifanikisha tu lazima nirudi kutoa shukrani za dhati.
Natanguliza shukrani za dhati kabisa toka moyoni kwa jinsi mlivyochangia mawazo yenu na ushauri pamoja na kunitia moyo. ninazidi kuwaomba pia mniombee maana hapa napo ni pa gumu kumjua yupi ni yupi na pia kumjua aliye serious. Ninaamini atapatikana tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.