Blog nzuri

suzi

New Member
Aug 8, 2011
4
1
Wana JF, nimeleta topic mpya kabisa japo ni nje ya topic hii ni kwa sababu wengi tulioughaibuni tunatafuta vimwana na wakaka wa kuoa/kuolwa nao. Kuna hii blog nimetumiwa na rafiki yangu unaweza tuma maelezo yako hata na picha. Pia utakutana na wenzako wahitaji kama wewe. Jitafutie Rafiki / Mchumba wa Kitanzania chukua hiyo copy and paste. Kila la heri
 
Asante suzi! je .. weye ndiye mmiliki wa hiyo blog! ?
 
Wana JF, nimeleta topic mpya kabisa japo ni nje ya topic hii ni kwa sababu wengi tulioughaibuni tunatafuta vimwana na wakaka wa kuoa/kuolwa nao. Kuna hii blog nimetumiwa na rafiki yangu unaweza tuma maelezo yako hata na picha. Pia utakutana na wenzako wahitaji kama wewe. Jitafutie Rafiki / Mchumba wa Kitanzania chukua hiyo copy and paste. Kila la heri
suzi bila shaka wewe ni demu sasa unaonaje tuonyeshe mfano kwa wana JF kuliko kupoteza muda wa kucopy na kupaste!for mo info niPM
 
Back
Top Bottom