Recent content by Jemmie

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuwa na taasisi zisizo na misingi ya ujamaa na kujitegemea Tanzania?

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi ya kijamaa inayotokana na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Hii imeelezwa katika ibara ya 3 ya Katiba ambayo inasomekana kama ifuatavyo: 3.-(1) Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya

    tusubiri lije kabla halijaja tusilisemee
  3. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya

  4. J

    JamiiForums Tanzania Loss report sasa kupatikana kwa njia ya mtandao

    Jeshi la Polisi nchini lawataka wananchi kutumia tovuti ya https://lormis.tpf.go.tz Kwa ajili ya kupata huduma ya loss report online bila ya kwenda kituoni.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

    Na Mwamba wa Kaskazini, Ngarenaro, Tanzania WIKI hii wakati ndugu zetu waislamu wakiwa katika tafakuri kuu ya Mfungo wa Ramadhani, kwa sisi Wakatoliki Tafakuri ya Pasaka ilishapita. Hata hivyo nimekuwa katika tafakuri binafsi juu ya hoja ya Katibu Mkuu wa CCM, kamaradi Dkt. Bashiru Ally, kuhusu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Zuia ukeketaji kwa mtoto wa kike: Wazazi na jamii tushirikiane

    Ukeketaji limekuwa janga kubwa katika jamii. Na kila ifikapo February 6, nchi ya Tanzania huungana na mataifa karibu yote ulmwenguni kuadhimisha siku ya kupinga ukeketaji. Historia ya ukeketaji imeendelea kuwa tishio kwa takribani karne 21 sasa. Historia inaonyesha kuwa katika kuthamini kwa kina...
  7. J

    JamiiForums Tanzania BREAKING: Boti Yazama, Watu 150 Hawajulikani Walipo

    Watu zaidi ya 150 hawajulikani walipo baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Kivu, katika mkoa wa Kivu kusini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. BREAKING: Boti Yazama, Watu 150 Hawajulikani Walipo! Kwa mujibu wa chanzo cha polisi katika eneo la Kalehe miili mitatu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Chang'ombe kwa tiketi ya CHADEMA ajivua uanachama na kuunga juhudi CCM

    Safi na wataisha wote mpaka 2020
  9. J

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Chang'ombe kwa tiketi ya CHADEMA ajivua uanachama na kuunga juhudi CCM

    Diwani wa Kata ya Chango'mbe Manispaa ya Temeke kwa tiketi ya Chadema, Ndalichako, leo Aprili 17. 2019 amejivua uanachama na kujiunga na CCM
  10. J

    JamiiForums Tanzania MFANYABIASHARA MDOGO ATACHUKUA VITAMBULISHO VINGAPI???

    Hivi ukilipia kitambulisho cha mjasiliamali mdogo kwa biashara unayoifanya utatakiwa upate vitambulisho vingapi ikiwa utafanya biashara zaidi ya moja? Mfano una saloon na una kibanda cha chips. 1. Biashara zikiwa sehemu moja??? 2. Biashara zikiwa sehemu Tofauti??? Ila zote zinamilikiwa na mtu mmoja.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Tanzania Job Y. Ndugai atazungumza na waandishi wa habari kesho tarehe 14.04.2019

    Spika wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai (Mb) atazungumza na Waandishi wa Habari jambo muhimu kuhusu Bunge, kesho Jumapili tarehe 14 Aprili, 2019, saa sita na nusu mchana, katika Ofisi Ndogo ya Bunge Jijini Dar es Salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    JamiiForums Tanzania Loss report sasa kupatikana kwa njia ya mtandao

    Hatua nje iliyochukuliwa na jeshi la polisi baada ya malalamiko ya muda mrefu na wananchi wanaopata taabu kwa kufuata utaratibu wa kupata loss report . Sasa basi kero hii imetatuliwa kwa kutumia njia ya mtandao. Jeshi la Polisi nchini kupitia kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Taasisi ya BMVSS ya India zinatarajiwa kuendesha upimaji na kutoa bure zaidi ya miguu bandia 600

    Watu wenye uhitaji wa miguu hiyo, wametakiwa kufika MOI ndani ya mwezi huu kwa ajili ya vipimo na maelekezo mengine na kwamba ugawaji wa miguu hiyo utafanyika Mei, mwaka huu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dk. Respicious Boniface, alitoa wito huo jana na kusema mpango huo ni sehemu ya mkakati wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: DC Katambi apinga maandamano ya ACT-Wazalendo

    Mkuu wa wilaya ya Dodoma apiga marufuku maandamano ya aina yoyote yaliyopangwa kufanyika kesho na wanachama wa ACT na washirika wake
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya plastiki kupigwa marufuku

    Serikali ya Tanzania imesema iwapo watakubaliana na taasisi mbalimbali wanazotarajia kukutana nazo wiki hii wanaweza kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kuanzia Julai mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Aprili 8, 2019 na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Rais...
Back
Top Bottom