Spika wa Bunge la Tanzania Job Y. Ndugai atazungumza na waandishi wa habari kesho tarehe 14.04.2019

Jemmie

JF-Expert Member
Mar 6, 2018
216
285
Spika wa Bunge Mhe. Job Y. Ndugai (Mb) atazungumza na Waandishi wa Habari jambo muhimu kuhusu Bunge, kesho Jumapili tarehe 14 Aprili, 2019, saa sita na nusu mchana, katika Ofisi Ndogo ya Bunge Jijini Dar es Salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumai atatangaza kujiuzuru ili kuiokoa nchi kwa sababu ya uongozi wake mbovu na magonjwa ya akili yabayomkabili ikiwepo ile ya kupiga fimbo za kichwa.. na Dharau aliyopewa ya report za mkaguzi zinemfedhehesha sana wakati walishazikataa na mkulu kawapelekea aombe radhi maisha yaendelee... zile njozi mbaya usiku bado zinamsumbua dhambi ni mbaya
 
Kwenye hili sakata la CAG ilikuwa inajulikana dhahiri shairi kwamba CAG atamgalagaza Huyu Andunje kweupeee... Sasa ninachomuomba Huyu mzee wangu hiyo kesho, atumie busara kubwa sana kuzungumza. Atakachozungumza kesho kinaweza kumrudishia heshima yake au kikamuaibisha zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa taratibu za uendeshaji bunge chini ya mwamvuli wa jumuiya ya madola ambapo tz ni member speaker anatakiwa kujiuzulu pindi azimio la bunge linapopingwa na katiba Kwa niaba ya heshima ya bunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumai atatangaza kujiuzuru ili kuiokoa nchi kwa sababu ya uongozi wake mbovu na magonjwa ya akili yabayomkabili ikiwepo ile ya kupiga fimbo za kichwa.. na Dharau aliyopewa ya report za mkaguzi zinemfedhehesha sana wakati walishazikataa na mkulu kawapelekea aombe radhi maisha yaendelee... zile njozi mbaya usiku bado zinamsumbua dhambi ni mbaya
Kamati ilipendekeza azimio Bunge wakapiga kura kulipitisha sasa lawama kwa Spika za nini?
 
Back
Top Bottom