Dodoma: DC Katambi apinga maandamano ya ACT-Wazalendo

Dodoma: DC Katambi apinga maandamano ya ACT-Wazalendo

Jemmie

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2018
Posts
216
Reaction score
285
Mkuu wa wilaya ya Dodoma apiga marufuku maandamano ya aina yoyote yaliyopangwa kufanyika kesho na wanachama wa ACT na washirika wake
 
Katambi anahitaji kuwa kitambi kwa kula na kusaza,lazima ajitutumue haswaa!!!
 
Kuna siku watumaji, wanaowatuma, wanaotumwa, wanaotumikishwa na wanaokandamizwa wataondoka wote na kuviacha viti vyao vitupu na kujikuta eneo moja na kila mmoja atalipwa kulingana na stahili yake!
kuna watakaolia na kusaga meno!

Japo kwa sasa wantumia meno yao kula Visivyolika.
 
Hata wewe Katambi?
Kwahiyo ishu ya CAG ni Bunge tu ndio lenye hati miliki ya kulijadili?Kwamba unatuwekea Watanzania mipaka ya KUHOJI?
Hicho kiyoyozi ndio kimekufanya kuwa poyoyo hivi? Ukashindwa kusimama na CAG anayetuibulia UFISADI?

ACHA UZWAZWA, IPENDE NCHI KABLA YA SERIKALI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Katambi kutoka kuandaa maandamano mpaka kuzuia maandamano. Majukumu yamebadilika
 
Kuna siku watumaji, wanaowatuma, wanaotumwa, wanaotumikishwa na wanaokandamizwa wataondoka wote na kuviacha viti vyao vitupu na kujikuta eneo moja na kila mmoja atalipwa kulingana na stahili yake!
kuna watakaolia na kusaga meno!

Japo kwa sasa wantumia meno yao kula Visivyolika.
Msamiat mgumu mkuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom