Recent content by JemedariSado

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Mkuu hii umetuma lakini Haina namba za simu. Unaweza kutuwekea... Maana na Mimi nipo mbeya nataka niiombe hii kazi!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Kutengeneza Pesa Online — Usifuate Kelele, Fuatilia Mwelekeo Sahihi

    Mkuu. Unaweza kuongeza maelezo kidogo kuhusu Hilo la VO!?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania acheni kuruhusu mtu abadili PIN bila kigezo chochote

    Kama Mimi binafsi nnaweka visenti kwenye timiza account.... Hata sijui nifanyeje
  4. J

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania acheni kuruhusu mtu abadili PIN bila kigezo chochote

    Uko sahihi mkuu hebu fikiria umepoteza simu, usalama wa hela Yako unakua ni mdogo sana
  5. J

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania acheni kuruhusu mtu abadili PIN bila kigezo chochote

    Ndugu wanabodi. Mimi binafsi ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa Airtel. Lakini pia ni freelancer na agent wa mitandao yote ikiwemo na Airtel. Kitu kilichonistua mpaka kuandika hii thread. Ni baada ya wateja wangu kama wawili walikuja Kwa mda tofauti. Mmoja alikuja kifanya SIM SWAP, baada ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ningekuwa na uwezo ningevifuta kwenye uliwengu wa siasa vyama vyote vya upinzania Tanzania

    Alie kufundisha kusema "mamilioni ya watanzania...." Anywe soda popote alipo mi ntalipa.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Salum Mkambala wa Magic FM acha kupotosha

    Moja ya vipindi bora kwa sasa vya uchambuzi ni, "powerbreakfast" CLOUDS japo matangazo mengi... na "mambo mambo" RFA
  8. J

    JamiiForums Tanzania Biblia kwa Jicho Jingine

    Mkuu Hii makala ipo Vizuri sana, japo baadhi unayoongea hapo hayapo kwenye Biblia... Vp umewahi kufika Mbinguni, maana naona kama movie vile!
  9. J

    JamiiForums Tanzania Biblia na reference ya vitabu vya kipagani

    Mtoa mada, Naomba kukuuliza... Je unaamini katika Biblia? na kwamba Mungu anaongea na sisi kupitia hiyo? Kama hauamini basi ni halali yako kuhoji kwa namna hiyo. NB; nimeuliza hayo kutokana na mada zako nyingi zinazohusu dini, Nadhani vitu vingine tutamuuliza Mungu tukifanikiwa kufika huko.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Mbeya

    Kweli mkuu ngoja niongeze nyama kidogo
  11. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nipo Mbeya

    Habarini wakuu.! Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu cha IFM course ya Bachelor degree of Insurance and Risk Management na nina miaka 27, lakini nimezunguka na bahasha kutafuta kazi bila mafanikio, nia yangu nikufanya kazi yeyote ya halali kwa mwaka mmoja au miwili ili nami nitimize ndoto yangu ya...
Back
Top Bottom