Natafuta kazi nipo Mbeya

Natafuta kazi nipo Mbeya

JemedariSado

Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
11
Reaction score
15
Habarini wakuu.!

Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu cha IFM course ya Bachelor degree of Insurance and Risk Management na nina miaka 27, lakini nimezunguka na bahasha kutafuta kazi bila mafanikio, nia yangu nikufanya kazi yeyote ya halali kwa mwaka mmoja au miwili ili nami nitimize ndoto yangu ya kujiajiri. Nipo tayari kuitwa mkoa wowote.

Aliye serious namba yangu 0688 527046
 
Soma tena tangazo lako ukiona limekamilika liache hivyohivyo ukiona kuna mapungufu yafanyie kazi ulibadilishe
 
Afadhali ungefunguka umesomea kitu gani chuo.iwe rahisi kupata kazi ya ulichosomea mbali na yoyote.
 
Back
Top Bottom