Recent content by jem-c

  1. jem-c

    Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Dah watanzania tunakosoa aisee dah
  2. jem-c

    Jitahidi mwanao asisome masomo ya Sanaa

    Kwanza siyo kila mtu ataweza kusoma science,kila mtu ana uwezo katika kitu fulani,ebu fikiria kila mtu asome science subjects nani atafanya kazi ya kuwa lawyer, accountant,mwandishi wa habari n.k Pili, siyo kila mtu anasoma ili aajiriwe, na ndiomana tatizo la ajira ni kubwa kwasababu...
  3. jem-c

    Mtihani wa Darasa la Saba wafutwa

    Sasa kwenye kazi wanahitaji watu wajue kiingereza na hapa tumekitoa duh!
  4. jem-c

    Kiwanja chenye msingi wa ghorofa kinauzwa

    Eneo:tabata kimanga Ukubwa mbele mita 24.03 Nyuma mita 15.75 Kushoto mita 28.80 Kulia mita 24.60 Hati ipo. Mawasiliano:0657027024 Bei:milioni 90
  5. jem-c

    Toyota mark 2 gx110 inauzwa

    Bei:milioni 10 Rangi:nyeupe Cc:2400 Mawasiliano:0657027024
  6. jem-c

    Martin Kadinda Soon Kuoa

    Sorry nilikosea hapa
  7. jem-c

    Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    duuh! yaani naona ccm inashinda 2015 kiulaini kabisaa
  8. jem-c

    Bongo movies...

    Muigizaji yeye na cameraman ye mwenyewe pia
  9. jem-c

    Utafiti: Wasio na elimu waongoza kumpenda Rais Jakaya Kikwete

    ivi msomi inabidi awe amefika level gani kielimu?
  10. jem-c

    Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

    Hata kama thread ni ya uongo ila humu yamepatikana mawazo mazuri sana aisee
  11. jem-c

    Mkoa wa Tanga umekamilika kuliko mikoa yote Tanzania

    Tanzania imebarikiwa tatizo hatuna entrepreneurship spirit ,siyo wote lakini
Back
Top Bottom