Search results

  1. jem-c

    Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Dah watanzania tunakosoa aisee dah
  2. jem-c

    Jitahidi mwanao asisome masomo ya Sanaa

    Kwanza siyo kila mtu ataweza kusoma science,kila mtu ana uwezo katika kitu fulani,ebu fikiria kila mtu asome science subjects nani atafanya kazi ya kuwa lawyer, accountant,mwandishi wa habari n.k Pili, siyo kila mtu anasoma ili aajiriwe, na ndiomana tatizo la ajira ni kubwa kwasababu...
  3. jem-c

    Mtihani wa Darasa la Saba wafutwa

    Sasa kwenye kazi wanahitaji watu wajue kiingereza na hapa tumekitoa duh!
  4. jem-c

    Kiwanja chenye msingi wa ghorofa kinauzwa

    Eneo:tabata kimanga Ukubwa mbele mita 24.03 Nyuma mita 15.75 Kushoto mita 28.80 Kulia mita 24.60 Hati ipo. Mawasiliano:0657027024 Bei:milioni 90
  5. jem-c

    Toyota mark 2 gx110 inauzwa

    Bei:milioni 10 Rangi:nyeupe Cc:2400 Mawasiliano:0657027024
  6. jem-c

    Martin Kadinda Soon Kuoa

    Sorry nilikosea hapa
  7. jem-c

    Ofisi ya CHADEMA mkoa wa Arusha yachomwa moto

    duuh! yaani naona ccm inashinda 2015 kiulaini kabisaa
  8. jem-c

    Bongo movies...

    Muigizaji yeye na cameraman ye mwenyewe pia
  9. jem-c

    Utafiti: Wasio na elimu waongoza kumpenda Rais Jakaya Kikwete

    ivi msomi inabidi awe amefika level gani kielimu?
  10. jem-c

    Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

    Hata kama thread ni ya uongo ila humu yamepatikana mawazo mazuri sana aisee
  11. jem-c

    Mkoa wa Tanga umekamilika kuliko mikoa yote Tanzania

    Tanzania imebarikiwa tatizo hatuna entrepreneurship spirit ,siyo wote lakini
  12. jem-c

    M23 warudi nyuma, Rwanda yapeleka Jeshi mpakani, Rais Mseveni aitisha kikao cha dharura Kampala!

    Leaders in the Great Lakes region are expected to hold an emergency meeting in Kampala next Thursday to stop an imminent war between Rwanda and the Democratic Republic of Congo (DRC), Chimp Corps report. The International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) said in a statement on...
  13. jem-c

    Tanzania excluded from EAC joint communique

    kuunganisha nchi ambazo kunatofauti ya raslimali ni tatzo kubwa sna, TZ tuna ardhi yenye rutba sana ukilinganisha na Nchi zingine za EAC,
  14. jem-c

    Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    Nashangaa sana watu wanaosupport hawa kkk, hapa inaonyesha wazi kuna chuki dhidi ya Tanzania hii siyo ishu ya rais ni ishu ya kitaifa
  15. jem-c

    Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    Watanzania inabidi kuonyesha uzalendo siyo kushabikia kila kitu, hapa tuongee kama watanzania siyo kichama kila kitu
  16. jem-c

    President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

    Tanzania ingekua ndyo nchi ndogo alafu rwanda na uganda ndyo nchi kubwa nafkir tungeonewa sana kwa style hii
Back
Top Bottom