Hilo jini inabidi utafute watu wa mikoani wasukuma watanunua wale
Bei:milioni 10
Rangi:nyeupe
Cc:2400
Mawasiliano:0657027024
View attachment 219232View attachment 219233View attachment 219234View attachment 219235View attachment 219234
Hilo jini inabidi utafute watu wa mikoani wasukuma watanunua wale
Gari ni nzuri,ila wabongo tumekariri sana,sioni tatizo la cc 2500,Brevis na zenyewe ni CC 2500,D4 ni more powerfull and efficiently kuliko vvti,D4 zinahitaji mafuta masafi hazipendi mafuta yaliyochakachuliwa na pia service on time ni muhimu kwa magari ya D4......Tunatishana ni Jini wakati tofauti na cc 2000 ni ndogo sana yani kama kwa siku unatumia lita 4 kwenda na kurudi kwa gari ya cc 2000 ukiwa na ya cc 2500 inamaanisha utatumia lita 5 ongezeko la lita moja tu,kwahiyo msitishe watu.
unataka linywe uji?Hilo ni jini linakunywa mafuta balaaa
Kwa hiyo? tununue au?