kuna makala nimewahi kuisoma, mtafiti aliyeiandika anadai kwamba wanaume waliowengi ume zao zina urefu wa nchi 5 hadi 5 na nusu (waliowengi), kwahio kama una nchi 6 na kuendelea jua wewe ni superhuman, na chini ya nchi 5 ila si chini ya nchi 3 na nusu, ni kawaida tu (ila uwe umesitiriwa na unene...