Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,099
- 165,287
Paulo au John
We ukimwita mwanao kidomo unadhan akikua atakua na tabia gani ?Ngekewa. MMe Chukulubu. Me Nyambi. Mme Akajasembamba. MKe. Kichogo .mme. Kundewa ,mme. Semenin..mke. Pili kidomo,mke havinitishi,mke. . msichoke,Mme. ... Pimbi,,Mme ...MAJINA NI MENGI KWA KWELI...tuliza kichwa,,MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....Mbona mnajichanganya bana.....hapo pekundu mbona rahisi tu...Wazima wana jamii Polen kwa utafutaji wa kila siku kama kichwa kinavyo jieleza mda si mrefu Mungu ajaalie ntapata mtoto naitaji majina yasiyo complicated na yenye maana nsije kuta namuita Jina mtoto lenye maana hasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jimmy alikuwa mbwa wangu nilimpendaga sanaJimmy
Ni jina tamu sana
Muite Fillius. Latin meaning "The Son" derived from Greek "Theophilus" meaning "Son of God"
Thanks muchMuite Fillius. Latin meaning "The Son" derived from Greek "Theophilus" meaning "Son of God"
Theo - God
Phil - Son
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo yapi hayo?majina ya kizungu na kiarabu waachie wazungu na waarabu, mpatie mtoto wako majina yenye asili yako (kiafrika) sio lazima jina liwe la kabila lako hata kabila lingine, kuna ya kiswahili pia, mbantu kumpatia mtoto wake jina la kizungu/kiarabu (ambalo hajui hata matamshi na maana yake) imekuwa ikionekana kawaida sababu wote tumeshapumbazwa kutaka kuwa kama waliotutawala/waliotuzidi. amka mwafrika
Mi sio myakyusa nini maana ya anyonyile.mpe amfugile,
anyonyile
mwakyusa