Jeinjei
Member
- May 14, 2014
- 38
- 82
hapo hapo ndipo wabantu hunishangaza. unasema wewe sio wa kabila la wanyakyusa hivyo huwezi ukampa mtoto jina la kinyakyusa! wakati huo huo mfano utakuta wewe ni msukuma ila una jina la kizungu/kiarabu! yupi ni wakumshangaa zaidi? msukuma mwenye jina la kinyakyusa? au msukuma mwenye jina la kizungu? yupi ana fikra za kitumwa?