Je mtu yeyote anaweza kuwa tour guide?

Jeinjei

Member
May 14, 2014
38
82
Nimetokea kuipenda sana kazi ya tour guiding, sijasoma course yoyote kuhusu hiki kitu ila nina dhamira ya dhati ya kufanya kazi hii. Naombeni mwongozo wenu kwa mnaoifahamu kazi hii vizuri...
 
Back
Top Bottom