Recent content by Jegeto

  1. J

    JamiiForums Tanzania Taifa hilo ni lipi?

    Ukisoma injili ya mathayo 21.43 inasema ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu na kupewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake lenyewe.Je taifa hilo ni lipi?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya Kipanya leo ipongezwe

    Hatarii
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana: Yaheshimuni maungo yenu

    Mkuu umenena vema
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Taasisi ya Ndoa ni Taasisi inayopumilia mashine, iko hoi, taabani!

    Taasisi hii tatizo iliharibika zamani sana toka Adam na Hawa na haijawahi rekebishwa hivyo muda unavyoenda ndio inazidi kuporomoka,na hili jambo la haki sawa ni shida
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya wana MMU wote

    I thank God for giving me one more year
  6. J

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    Pole sana ndugu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kutumia Bibilia ya kwenye simu wakati wa ibada kanisani?

    Usiogope watu kukushangaa muogope Mungu, hizi Bible Zach kwenye simu ni app watu wameweka wakizichezea wanavyotaka maana si itapotea?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kutumia Bibilia ya kwenye simu wakati wa ibada kanisani?

    Huu ni mtego wa ibilisi ili baadae hard copy zipotee halafu wanafuta au kubadili maandiko wapendavyo. Nashauri tutunze biblia zetu Kwa manufaa yetu na vizazi vijavyo.Ukichunguza hizi zilizopo zinatofautiana toleo hadi toleo
  9. J

    JamiiForums Tanzania Boss nijibu haraka kabla sijachukua maamuzi magumu

    [emoji122][emoji122]
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

    Poleni sana Mungu atawavusha ktk kipindi hiki kigumu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Misungwi amdhalilisha mwalimu mbele ya wanafunzi wake

    Nchi inaelekea pabaya
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hodi Jf

    Mimi mgeni humu naomba mnipokee
Back
Top Bottom