Tangu waziri wa Mambo ya ndani atangaze kuwa kutakuwa na ukaguzi, polisi wanazunguka mahotelini usiku wa manane na kugonga milango kwa nguvu kama umevamiwa na majambazi.
Kwa wageni hii ni aibu, fikiria mtu umechoka, saa 8 huu usiku unagongewa mlango kwa nguvu kama vile ni mhalifu.
Nchi hii...
Vitendo vya Mbowe baada ya uchaguzi tu ni ishata tosha kuwa kwa namna moja ama nyingine ni mhusika:
1. Kitendo cha kushindwa kuvunja kambi yake baada ya u haguzi
2. Kitendo cha kutolikemea kundi lake baada ya uchaguzi kuendelea kuibagaza hadema
E. Kitendo cha kujitenga wakati wote wa mateso ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.