Recent content by jdl

  1. J

    Hizi ndio Familia 13 za Illuminati zenye nguvu duniani Zilizopewa nafasi ya Kuumaliza Ulimwengu

    Kwa hiyo wewe unalewa nini hapo na unaifafanua vipi?!!
  2. J

    Polisi yatoa picha za jambazi sugu ambaye ni kinara wa uporaji kwenye mabenki

    I can trust anybody, any gvt organ except the so called jeshi LA polise. Hawa jamaa ni majangiri wa serikali kabisa!!! Never dare to trust them....shame on you policcm
  3. J

    Niliokoka baada ya kusikiliza Kwaya ya Makongoro na Uliyankulu!

    Nilikupa hongera bila kujua unakoenda. Ni kitu gani cha ziada umepata huko? Anyway kuna vitu pia hutavipata eagt, ukivipata kwingine ututaarifu pia wakati unahama.
  4. J

    Niliokoka baada ya kusikiliza Kwaya ya Makongoro na Uliyankulu!

    Mungu akubariki zaidi. Achana na habari za ulikuwa wapi kabla, chamsingi kwako ni ukristo wako. Mguso wa Roho mtakatifu ni tofauti kwa kila mmoja wetu na kila anapoguswa huwa na sababu. Usijari kuhusu ulikuwa wapi. Hongera kwa ushuhuda
  5. J

    Msaada wa link ya SAUT

    Mwenye list au link yoyote inayoweza kunipa graduants wa SAUT- MWANZA 2014 anisaidie . Jodel1986.jd gmail.com Asanteni
  6. J

    Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

    Haki sawa kwa misingi ipi? Wapalestina wanataka kuachive goals ambazo wanafahamu wazi wazi kwamba hawawezi kuziachive. Kati ya biblia na Koran ni kipi kilitangulia? Jibu unalo. Sasa biblia inasema yerusalemu ni ya nani? Jibu unalo! Koran inasema chochote kuhusu Jerusalem na umiliki wake. Let's...
  7. J

    Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

    One thing to note: Milele hutaikuta Israel katika ranks either za uchumi au kijeshi! Watu hujaribu kuikadiria lakini no one nows exactly. Umewahi kujiuliza uchumi wa dunia unapangwa na nani? E.g kupanda na kushuka kwa sarafu za dunia? Utasema labda world bank or IMF. Okay.. Unajua hizo zote ni...
  8. J

    Israel Greenlights Coca Cola Factory in Gaza

    Huwezi kuwa myahudi hata siku moja. You don't have the DNA. Unaweza kuwa m-israel na siyo myahudi. That's why siyo kila m-israel ni myahudi.
  9. J

    Israel Greenlights Coca Cola Factory in Gaza

    Wanataka kusikia kinamilikiwa na Maarabu!!!! Mfyuuuuuu..!
  10. J

    Jinsi ya kuchangia CHADEMA kwa njia ya M-PESA

    Mbona hawasemi wanefikisha ngapi bana?
  11. J

    Makato ya NSSF na Tra.

    Asante
  12. J

    Makato ya NSSF na Tra.

    Kama Niko sahihi NSSF ni 10% hivyo inabaki 900,000/=. Ukiiplug hii unapata 157800. Hii ni sahihi au kuna mahali nakosea?
  13. J

    Makato ya NSSF na Tra.

    Ndiyo inatumika kwa sasa?
  14. J

    Makato ya NSSF na Tra.

    Asante sana mdau, calculator ndiyo inatukika kwa sasa? Maana kuna mchangiaji amesema Kwa 1M itabaki 812000 ila kwa hii calculator inabaki 742200. Ipi ni sahii?
Back
Top Bottom