Israel Greenlights Coca Cola Factory in Gaza

Israel Greenlights Coca Cola Factory in Gaza

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,018
543076.jpg

Coca Cola Factory

Construction of a Coca Cola factory in Gaza is set to begin this week after being green-lighted by Israel's defense establishment.

A major advantage of the new factory is that it will create jobs for thousands of Palestinians - first for construction builders, and then some3,000 factory workers.

The factory is to be built in the Karni industrial area. The construction period will take six months.

While the Karni border crossing is closed, the industrial area there remains active. It contains an abundance of storage spaces used byinternational organizations as well as cooling structures under the use of Palestinian merchants.

Even after the factory is operational, the Karni border crossing will remain closed for security reasons. Any transfer of goods will be done through the Strip's only open border crossing with Israel - Kerem Shalom.

To set the construction of the factory in motion, a Palestinian entrepreneur had to submit a request to the Coordinator of Government Activities in the Territories (COGAT).

Defense Minister Moshe Ya'alon then accepted COGAT head Major General Yoav Mordechai's recommendation to move forward with the plans.

Israel's defense establishment hopes this factory, like other factories in the works, will jumpstart Gaza's economy, reduce terrorism and lead to a forward acceleration of Gaza's rehabilitation.

It will also bring one of the world's most popular products closer to consumers.
Gaza residents currently receive Coca Cola products from a factory in Ramallah. However, there are often shortages due to the frequency of the closure of border crossings.

The Kerem Shalom crossing was closed Saturday after a
rocket fired from Gaza hit the Eshkol region of southern Israel on Friday. It is set to re-open Wednesday.

Israel Greenlights Coca Cola Factory in Gaza - In Other News... - News - Arutz Sheva

Jamaa wanasaidiwa ila ndio Waarabu hawana Shukrani... Kunyweni makapi hayo...
 
Jamaa wanasaidiwa ila ndio Waarabu hawana Shukrani... Kunyweni makapi hayo...

Yani wewe ndio mjinga wa mwisho kwani walikwambia wanashida ya kitu kutoka kwa israel, ushabiki maandazi tu umekujaa, kiwanda cha israel wewe tandale unachekelea kama siyo ulimbukeni nini?
 
Binafsi cjawahi kuona tofauti ya kimuonekano Kati ya WA Israel na WA Palestine wote Ni waarabu ILA Kuna wavamizi kutoka ulaya km netanyahu
 
Wanasaidiwa kivipi?.
hicho kiwanda unadhani ni cha nani?

Hivi Hujui Kiwanda cha Coca cola kinaendeshwa na wakina nani Duniani? Jibu ni Jews Ndio maana katika kampeni za Kususia bidhaa zitengenezazwo na Wayahudi Coca ni Sehemu moja ya hizo Bidhaa... Achana na Mayahudi ndio wanaendesha Dunia... KAtafute Historia ya Rothschild ndio utaelewa vizuri na utajua kwa nini nimeandika hayo maneno kuwa wanasaidiwa..
 
Yani wewe ndio mjinga wa mwisho kwani walikwambia wanashida ya kitu kutoka kwa israel, ushabiki maandazi tu umekujaa, kiwanda cha israel wewe tandale unachekelea kama siyo ulimbukeni nini?

Pole sana kwa kuwa huelewi Middle east inakwendaje na kwanini Waarabu wanawachukia Wayahudi.. Jibu ni Elimu hivyo waarabu wana kila sababu ya kuiganda Israel na wanapozuiliwa hukasirika sana kwani huona ni ndugu zao... haya mambo hayajaanza leo au jana mkuu mimi ni mfuatiliaji sana wa mambo ya Middle east... hivyo usidhani ni zumbukeni kama wewe mweupe kichwani... usiwe kama waislam wakikosa au kushindwa hoja wao hutukana tu matusi....

Hata watoto wadogo wanafahamu kuwa Wapalestina wana shida wewe uliyeelimika haufahamu jambo hilo dah! nikikuuta Kubwa Jinga sijakosea... na nikikuuliza wapi nimechekelea kama ulivyoandika ukakosa jibu nani akucheke! hapo mimi nimechangia mada au hutaki mada za nje tuzijadili sababu tunakaa Tandale? JF imejaa majinga sana siku hizi.... Mods Poleni kwa kazi...
 
Binafsi cjawahi kuona tofauti ya kimuonekano Kati ya WA Israel na WA Palestine wote Ni waarabu ILA Kuna wavamizi kutoka ulaya km netanyahu

Mkuu Waisrael hawatambuliki kwa rangi tu bali kuna kitu kinaitwa DNA ukienda kule lazima upimwe kwanza na DNA za wayahudi zinaeleweka kwa wataalamu wa Dunia nzima...Ndio maana kuna hadi waethiopia,Wachina,Wahindi,Pakistan na Wengine wengi hata yule Msichana aliyepigwa risasi na Wataleban jina la baba yake Yousef laweza kuwa linatoka ukoo wa Joseph katika koo za Watoto wa Jacob Israel DNA zao zinafanana hadi na za Netanyahu... japo zinaweza kupungua au kutofautiana kiasi sababu za kitaalamu zaidi... punguza kuwazushia watu jambo usilolifahamu vizuri... Ndio maana kuna The lost ten tribe of Israel ambazo kuna taasisi inazozikutanisha kutoka pande zote za Dunia... na itatimia tu na eneo la ahadi kwa Wana wa Israel ni kubwa sana sehemu kubwa sana ya Iraq,Lebanon yote Syria yote,Baadhi ya maeneo ya Misri,Sinai yote saudia,Kuwait sehemu ya Uturuki, tizama ramani hiyo

PLand.jpg

daesh-turkey.jpg

Israel.jpg

God promises the land between the Nile
& Euphrates rivers to Abraham's seed:
Abrahams "seed" to be reckoned
through the line of his son Isaac:
This promise passes from Abraham,
to Isaac to Jacob ("ISRAEL"):

[TD="bgcolor: #FFFFCC"] Genesis 15:18 - On the same day Yehovah made a covenant with Abram, saying, Unto your seed I give this land, from the river of Egypt to the great river, the river Euphrates; [/TD]

[TD="bgcolor: #FFFFCC"] Genesis 21:12 - But God said to him, "Do not be so distressed about the boy and your maidservant. Listen to whatever Sarah tells you, because it is through Isaac that your offspring will be reckoned. [/TD]

[TD="bgcolor: #FFFFCC"] Hebrews 11:9 - By faith he made his home in the promised land like a stranger, living in tents, as did Isaac and Jacob, who also inherited the same promise, [/TD]
 
Mlaleo

mkuu kwa mujibu WA maelezo yako Ina maana huwezi kuwa Jews mpk uwe na vinasaba vya DNA?? Kwa mfano Mimi Leo hpo tz natka kuwa Jews na sins vinasaba vya dna kwa hyo siwez kupitishwa kuwa Jews??
 
Last edited by a moderator:
Hivi Hujui Kiwanda cha Coca cola kinaendeshwa na wakina nani Duniani? Jibu ni Jews Ndio maana katika kampeni za Kususia bidhaa zitengenezazwo na Wayahudi Coca ni Sehemu moja ya hizo Bidhaa... Achana na Mayahudi ndio wanaendesha Dunia... KAtafute Historia ya Rothschild ndio utaelewa vizuri na utajua kwa nini nimeandika hayo maneno kuwa wanasaidiwa..
Kumbe hata nyanza bottle ni wayahudi,ndo maana zinanyweka sana,coca cola ni kinywaji kilichobarikiwa.
 
icho watakilipua muda si mrefu, na israel wanasubiri wakilipue ili iwe ushuhuda kwa dunia nzima watakapo amua kuwatandika za mgongo ili wapalestina hata wakilialia dunia iwe shahidi. kama hauamini subiri wakilipue halafu uone adhabu itakayofuata.
 
mkuu kwa mujibu WA maelezo yako Ina maana huwezi kuwa Jews mpk uwe na vinasaba vya DNA?? Kwa mfano Mimi Leo hpo tz natka kuwa Jews na sins vinasaba vya dna kwa hyo siwez kupitishwa kuwa Jews??

Ngoja nimjibie, Jibu ni ndiyo huwezi, hata wazazi wako wangekuzalia dubai na kuishi huko hadi sasa bado wewe usingekuwa mwarabu
 
Ngoja nimjibie, Jibu ni ndiyo huwezi, hata wazazi wako wangekuzalia dubai na kuishi huko hadi sasa bado wewe usingekuwa mwarabu

nadhani ishu cyo race ni imani sasa nashangaa kuona imani inakuwa kwa ajili ya specific people tu why? kwa mfano mi leo mkristo nikatokea kuvutiwa na uislam kwanini iwe longolongo za dna wakati imani kwa ajili ya mungu ambaye hana ubaguzi
 
Hivi Hujui Kiwanda cha Coca cola kinaendeshwa na wakina nani Duniani? Jibu ni Jews Ndio maana katika kampeni za Kususia bidhaa zitengenezazwo na Wayahudi Coca ni Sehemu moja ya hizo Bidhaa... Achana na Mayahudi ndio wanaendesha Dunia... KAtafute Historia ya Rothschild ndio utaelewa vizuri na utajua kwa nini nimeandika hayo maneno kuwa wanasaidiwa..
Elungata anawatukana wayahudi na wamarekani kwa kutumia internet waliogundua wao huu ni wendawazimu, basi susa kutumia internet kagundua kafir.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Hujui Kiwanda cha Coca cola kinaendeshwa na wakina nani Duniani? Jibu ni Jews Ndio maana katika kampeni za Kususia bidhaa zitengenezazwo na Wayahudi Coca ni Sehemu moja ya hizo Bidhaa... Achana na Mayahudi ndio wanaendesha Dunia... KAtafute Historia ya Rothschild ndio utaelewa vizuri na utajua kwa nini nimeandika hayo maneno kuwa wanasaidiwa..

Wanataka kusikia kinamilikiwa na Maarabu!!!!
Mfyuuuuuu..!
 
mkuu kwa mujibu WA maelezo yako Ina maana huwezi kuwa Jews mpk uwe na vinasaba vya DNA?? Kwa mfano Mimi Leo hpo tz natka kuwa Jews na sins vinasaba vya dna kwa hyo siwez kupitishwa kuwa Jews??

Huwezi kuwa myahudi hata siku moja. You don't have the DNA. Unaweza kuwa m-israel na siyo myahudi. That's why siyo kila m-israel ni myahudi.
 
mkuu kwa mujibu WA maelezo yako Ina maana huwezi kuwa Jews mpk uwe na vinasaba vya DNA?? Kwa mfano Mimi Leo hpo tz natka kuwa Jews na sins vinasaba vya dna kwa hyo siwez kupitishwa kuwa Jews??

jewish wako wengi jewish by pigmentation, jews by hair, jews by religion etc
 
Back
Top Bottom