Makato ya NSSF na Tra.

Makato ya NSSF na Tra.

jdl

Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
31
Reaction score
2
Habari wadau? Naomba kujuzwa kwa anayefahamu. Makato ya nssf huwa ni asilimia ngapi? Na TRA wanakata kiasi gani? Kwa mshahara wa milioni moja utabakiwa na kiasi Gani baada ya makato haya yote? Ahsante!
 
Habari wadau? Naomba kujuzwa kwa anayefjahamu. Makato ya nssf huwa ni asyilimia ngapi? Na TRA wanakata kiasi gani? Kwa mshahara wa milioni moja utabakiwa na kiasi Gani baada ya makato haya yote? Ahsante!
NSSF ni asulimia 10% na mwajiri anakuchangia 10% mfano msharhara ni
 
Asante sana mdau, calculator ndiyo inatukika kwa sasa? Maana kuna mchangiaji amesema Kwa 1M itabaki 812000 ila kwa hii calculator inabaki 742200. Ipi ni sahii?

Hakikisha figure unayoplug kwenye calculator iwe baada ya kutoa nssf
 
Hakikisha figure unayoplug kwenye calculator iwe baada ya kutoa nssf

Kama Niko sahihi NSSF ni 10% hivyo inabaki 900,000/=. Ukiiplug hii unapata 157800. Hii ni sahihi au kuna mahali nakosea?
 
Kama Niko sahihi NSSF ni 10% hivyo inabaki 900,000/=. Ukiiplug hii unapata 157800. Hii ni sahihi au kuna mahali nakosea?


hicho ndio kiasi cha makato so chukua hela inayobaki baada ya nssf toa hiyo utapata jibu
 
nina chukua 1,013,000/=tsh ppf wamechukua 101,300/= kodi wamechukua 180,000/ =nimebakiwa na 731,700/= je ni sawa jamani?
 
Back
Top Bottom