Recent content by Jcbmmnl

  1. Jcbmmnl

    Tupia kozi isiyo na ushindani kwenye kuchaguliwa mwaka 2019/2020

    DMI 1.BA marine engineering technology 2.BA naval archtecture and offshore engineering 3.BA nautical science
  2. Jcbmmnl

    TAA internship

    natanguliza hongera kam kuna mtu kaitwa, mie nshajiongeza niendelee na mishe zngne😔😔 wiki 2 ndo teyar tena no call/msg
  3. Jcbmmnl

    TAA internship

    Labda tusubr wiki ijayo tuone🤔
  4. Jcbmmnl

    Oral interview sekratarieti ya Ajira

    Soma duties and responsibilities zako kweny tangazo la hio nafas
  5. Jcbmmnl

    Fashion mpya ya Vanessa Mdee

    🐟1 akioza wote...
  6. Jcbmmnl

    Fashion mpya ya Vanessa Mdee

    hela isiwe sababu ya kufany utandauchi, huko ni kujishushia heshima na pia inawaathir wadogo zake ambao wanamwona kama role model wao🤔 coz nao ndo baadae tunapat wauza utandauchi 🔞
  7. Jcbmmnl

    Fashion mpya ya Vanessa Mdee

    Ndo mshaurin dada enu, maan anawaaibisha san🤔
  8. Jcbmmnl

    Ngono ya lazima: Mwanamke anapomlazimisha mwanamume kushiriki ngono, huo ni ubakaji?

    Wakati mwanamume anapofanya tendo la ngono na mwanamke bila ruhusa yake, huo ni ubakaji. Lakini je, inakuwaje wakati mwanamke anapomlazimu mwanamume kushiriki ngono naye bila ruhusa yake? Wewe una maoni gani kuhusu hilo?
  9. Jcbmmnl

    Ufafanuzi kuhusu kozi ya marine engineering na offshore&naval architecture

    Habar👋🏽 zenyu wana JF naomba kupata ufafanuz kuhus hizo kozi hapo kama kichwa cha habar kisemavyo ambazo zinatolewa chuo cha DMI ningependa kujua pia zimekaaje kifursa! maan nalikuwa natak niombe hapa second round. Ahsanten 🙏🏾🙏🏾
  10. Jcbmmnl

    Vyuo vizuri kwa kozi ya IT au computer science

    Kinachomilikiwa na wahind!, vp kipo vizur Mkuu?
  11. Jcbmmnl

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Duniani tunaishi kwa kudra zake Mola.
Back
Top Bottom