Tupia kozi isiyo na ushindani kwenye kuchaguliwa mwaka 2019/2020

x - mas

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
915
598
Habari zenu watu wangu wa maana wote.
Kuna kozi watu wengi sana wameomba kiasi kwamba watu wengine kukosa ingawa sifa wanazo.
Hata hivyo kuna baadhi ya kozi bado zinawatu wachache.
Tupia humu kozi yoyote yenye ushindani mdogo tuifahamu.
 
Habari zenu watu wangu wa maana wote.
Kuna kozi watu wengi sana wameomba kiasi kwamba watu wengine kukosa ingawa sifa wanazo.
Hatahivyo kuna baadhi ya kozi bado zinawatu wachache.
Tupia humu kozi yoyote yenye ushindani mdogo tuifahamu.

DMI
1.BA marine engineering technology
2.BA naval archtecture and offshore engineering
3.BA nautical science
 
Back
Top Bottom