Aaaah aaah dah.
Kifo nnje nnje aisee.
Yaani ni sawa na kujichimbia kaburi braza.. Ni nouma.. Yaaani msala mzee. Sijuh kwa nin haukuomba ushaur kabla haujaenda iyo kozi.
Mwaka jana walikufa 8 na majeruhi 13 kati ya watu 30 waliokuwa selected... Yaani 9 tu ndio wamesurvive.
Yaaani ni zaid ya ubaharia...
Kakaze ila ndio ujie maisha yako yapo ukingoni bro
Mbona unamtisha amesema anataka aombe second roundAaaah aaah dah.
Kifo nnje nnje aisee.
Yaani ni sawa na kujichimbia kaburi braza.. Ni nouma.. Yaaani msala mzee. Sijuh kwa nin haukuomba ushaur kabla haujaenda iyo kozi.
Mwaka jana walikufa 8 na majeruhi 13 kati ya watu 30 waliokuwa selected... Yaani 9 tu ndio wamesurvive.
Yaaani ni zaid ya ubaharia...
Kakaze ila ndio ujie maisha yako yapo ukingoni bro
Ndio asiombe akaushe...Mbona unamtisha amesema anataka aombe second round
Ndio asiombe akaushe...
Achana nae hawa madogo wa six wana maswali ya std 7 ayo ndio majibu yao... Hapo ukamjibu... Akauliza teena mshahara wao upoje
Akiona haitoshi anaweza akakuuliza tena, unafanyia kazi wapi baada ya kozi kuisha.
Hii kozi haikuwapo nchini hiyo habari ya ajali hiyo tuambie wapi ilitokea kukanusha uzushi wako.Aaaah aaah dah.
Kifo nnje nnje aisee.
Yaani ni sawa na kujichimbia kaburi braza.. Ni nouma.. Yaaani msala mzee. Sijuh kwa nin haukuomba ushaur kabla haujaenda iyo kozi.
Mwaka jana walikufa 8 na majeruhi 13 kati ya watu 30 waliokuwa selected... Yaani 9 tu ndio wamesurvive.
Yaaani ni zaid ya ubaharia...
Kakaze ila ndio ujie maisha yako yapo ukingoni bro
Kwa ni wapi hapo nimeandika ilitokea tanzania?Hii kozi haikuwapo nchini hiyo habari ya ajali hiyo tuambie wapi ilitokea kukanusha uzushi wako.