Yaani ww moro unaizarau ww unajua mikoa ipi inayozalisha mazao kwa wangi inchi tz nafikiri yote mi 3 imetajwa hapo ambayo inaweza kulisha ichi nzima moro mbeya na shy na c uzalishaji vipo vingine kama utalii hifadhi ya mikumi viwanda vya sukari viwali mtibwa na kilombero bwawa la umeme la kidatu...
Ttzo hawa jamaa ukiwa huwa hawaamini kama alivyo kenge mpaka atoke damu ndo ajue amepigwa ss nao wapo mfano wa kenge hawaamini kama ccm mtake msitake itarudi kwa spidi ile ile cjui mtasema nn ss
Pale mkuu co wote wanaokwenda pale ni wachama husika hapana pale panakuwa na mambo mengi wengine wanakwenda kusikiliza sera,wengine ni wanachama kabisa wa chama husika; wengine wanafata mkumbo wa watu tu kuwa wengi,wengine ni vibaka tu wanataka ukizubaa waibe,wengine ni wafanya biashara kwahyo...
Kma cjaeleweka mkuu pouwa ila kubali kwanza kumpokea El na kumpa nafasi ya kuwa mgombea wenu daha mmekosea sna yaani sera yenu itakuwa ni kuwajibu wananchi kwann lowasa mlisema fisadi leo kawa msafi wakati ccm ikipeta kwa kumtangaza magufuli kiulaulini sana tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.