Kwanini herufi J ni maarufu sana?

Kwanini herufi J ni maarufu sana?

What makes the letter "J" very special is;-JESUS was born in JUDEA which is in JERUSALEM, His father was JOSEPH the son of JACOB. He was baptised by JOHN the baptist in the most popular river JORDAN; which is located at the wilderness of JUDEA. JAMES and JOHN were His best disciples. He was also known as the King of the JEWS. JESUS was sold by JUDAS Iscariot just for thirty pieces of silver and when He died, JOSEPH of Arimathea requested for his body and was buried in JERUSALEM; That's why He is GOD of JUSTICE. His name is JEHOVAH JIREH.

Lets share this for heaven knowledges. GOOD Evening.



In hebrews....Y is used in place of J..

Yosef, Yerusalem... Yudea... Yudah..

Yesus...Yeremiah.... Yordan... Yehova..
 
In hebrews....Y is used in place of J..

Yosef, Yerusalem... Yudea... Yudah..

Yesus...Yeremiah.... Yordan... Yehova..

Yehova sio kiebrania... wao huita Yawe( Yahweh
 
hayo majina yote kwa lugha yake ya asili yanaanza na hetufi Y. mfano JESUS ni YEHOSHUA na JEHOVAH linatokana na YHWH. hivyo basi hiyo J haina lolote.
 
Watu mnapenda kuharibu/kupindisha nada za wenzenu!!!!ameandika kizungu nyie mnasema kiyahudi inaandikwa hivi,

Acheni hizo bana,kweli J ni maarufu

Judith Wambura
 
Jacob Steven (jb)
Jua Kali
Jangala
Jennifer Lopez
Jennifer mgendi
Jocate
Jackline wolper
Jesca brown
 
jaribu tena
jali kiu yako
juma mkeketwa
jambazi
jinamizi
jini kabula
joto dar
juliana kanyo
james mbatia
jana na leo
jobless jobers
jingalao
 
Taifa la uingereza jina la john ni nuksi, kwani mfalme john ndio alikua mfalme dhaifu kuliko wote na ndie yeye aliyepiga magoti mbele ya pope from that day waingereza wakakataa mtu anayeitwa john kua mfalme
 
Watu mnapenda kuharibu/kupindisha nada za wenzenu!!!!ameandika kizungu nyie mnasema kiyahudi inaandikwa hivi,

Acheni hizo bana,kweli J ni maarufu

Judith Wambura

Nada za wenzetu ndo nini mkuu????,tuelimishe boss.
 
Back
Top Bottom