Recent content by Jay Mbogo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Huyo hana madhara aende
  2. J

    JamiiForums Tanzania Yanga wanatafutiwa ushindi?

    Bila hata hizo pointi unazozifikilia wewe ubingwa upo palepale .
  3. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Habari Leo limeniacha hoi

    Kiukweli kichwa cha habari hakikufafanua hizo ajira ni za sasa zinazotarajiwa au za wakati uliopita.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hawamwongelei Tena Lema, Wakati Anateseka Selo

    Mambo mengine huyu jamaa anajitakia sasa anaumia mwenyewe.
  5. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    Naipa pole familia na Taifa kwa ujumla.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mbunge Lema ashtakiwa kwa kumtumia ujumbe Mkuu wa Mkoa wenye neno 'Shoga'

    Kwa mwanamme kumuita hivyo sio sahihi kabisa amekosea .
  7. J

    JamiiForums Tanzania Naanza rasmi kumsapoti Magufuli, Lowassa angetupoteza

    We unaota .
  8. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni baba wa Demokrasia Tanzania, Rais Magufuli ajifunze demokrasia kupitia Chadema.

    Mh' mbona Dr Slaa hamkufanyia demokrasia ???
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Naomba makamanda wenzetu muelewe hiki sio kipindi cha kawaida (Awamu ya tano)

    Hivi yasingetokea ya jana kumbe ukuta ulikuwa ushakufa ila sasa umeibuka tena kiukweli huyu jamaa mm huwa simuelewi.
  10. J

    JamiiForums Tanzania BAVICHA wameipa Serikali siku saba kutoa kauli kuhusu wanafunzi kukosa mikopo

    Hawa jamaa sasa hivi hawana cha kuongea kianachotokea mbele yao ndio hoja yao .
  11. J

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mimi nilimpa kula yangu Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli kula na wala sijutii acha arekebishe hii nchi mambo yalikuwa hayaendi .
  12. J

    JamiiForums Tanzania NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

    Nimecheka sana
  13. J

    JamiiForums Tanzania NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

    aisee umewaza kiundani sana big up
  14. J

    JamiiForums Tanzania NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

    Du hii kali wadau
Back
Top Bottom