Gazeti la Habari Leo limeniacha hoi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
39,517
2,000
Gazeti hili toleo la leo linaongozwa na habari kuu inayosomeka:

"Ikulu ya Magufuli yamwaga ajira"

Hata hivyo ukisoma kichwa kidogo chini yake ajira zinazoongelewa ni zile ajira 39 za wenyeviti wa bodi,ma-DED,RAS na ma-DC.

Sijui nyie wenzangu mnaonaje hapa.
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,042
2,000
Hakuna tatizo lolote hapo mbona. Wameangalia upepo ukoje, nanihii anataka kusikia kitu gani, basi unapiga humo humo na huo ndio udhaifu wa Wabongo hawawezi kukupinga hata kama unapotea
 

KASHOROBANA

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,244
1,500
Gazeti hili toleo la leo linaongozwa na habari kuu inayosomeka:

"Ikulu ya Magufuli yamwaga ajira"

Hata hivyo ukisoma kichwa kidogo chini yake ajira zinazoongelewa ni zile ajira 39 za wenyeviti wa bodi,ma-DED,RAS na ma-DC.

Sijui nyie wenzangu mnaonaje hapa.

Kama ulikuwa mawazoni mwangu, Kweli ukitumika kumfurahisha bwana wako au kutumika kama kikatuni cha kumchekesha mfalme ni shida sana. nilijua zimeachiwa zile ajira zilizozuiwa kupisha uhakiki wa serikali kwa waumishi wa umma kumbe ni makada wa CCM wanapangiana kazi??, dah it is too sad.

Na hawa ndo waandishi wa habari tulokuwa tukiwaunga mkono katika kupigania haki zao juu ya mswada ulosainiwa hiyo majuzi, ni sad pia hatari sana tena sana kwa waandishi wa kaliba hii katika tasnia ya habari, ni heri tuendelee na JF yetu na si hawa makatuni aka Vikaragosi waandishi kanjanaj
 

Easyway

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
2,606
2,000
Mwandishi kanjanja ,mhariri kanjanja itungwe tu sheria nyingine kali iwabane makanjanja kama wa Habari Leo.
 

kilicho

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
1,088
2,000
Kati ya vitu ambavyo siwezi hata kufikilia nakupoteza muda wangu ni kuangalia nakusikiliza TBC au kusoma hili gazeti la habari leo,coz sioni kama wanauledi huo wapo kusifia serikali tuu navipindi vyao ni upuuzi mtupu no creativity poor organized,nibora niangalie pornal kwenye cm kuliko hizi media zinazoitwa za serikali
 

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,449
2,000
Kichaa cha Awamu ya 5 na vyombo vyake...wakiambiwa wanaugua Zika wanakuja juu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom