Utatutoa kwa kukaa nyuma ya keyboard? Huku unapiga porojoSiku mkitolewa pale magogoni kama Gadafi alivyofanyiwa ndio utaona kelele vizuri.
Utatutoa kwa kukaa nyuma ya keyboard? Huku unapiga porojoSiku mkitolewa pale magogoni kama Gadafi alivyofanyiwa ndio utaona kelele vizuri.
Hili nalo ni dua la kuku. Mmepotezana.Iko siku mtakimbia na kuvua hayo magwanda ya ffu sababu mtawindwa kama dig dig hesabu miezi tu subiri!!
Nyie huwa mnaandamania humu JF tu.Wacha iwe tuu..
Mwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani bungeni na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh. Mbowe atatangaza operesheni UKUTA ndani ya mwezi kufatana na demokrasia inavyopokwa na Rais.
Amesema maamuzi hayo hayatarudi nyuma kufatana na kitendo cha jana CCM kutumia nguvu kupora haki za wananchi.
Amesema UKUTA ni kitu muhimu sana kuleta utawala wa kisheria.
Nimekumic sanaUkuta wa makaratasi dawa yake maji tu
Wewe huwezi kuwa mwewe tukiamua wewe mpo wangapi? Juzi kati tulimuanzisha njagu mwenzio FFU katika bar moja hapa A town alikimbia kama kajibwa kalikoona chatu!Hili nalo ni dua la kuku. Mmepotezana.