Recent content by jathurwa

  1. jathurwa

    Je, kwa haya Mauaji yanayotokea Mikoa mingine huu siyo wakati wa kutuomba Radhi wana Mkoa wa Mara kwa kutuchafua tokea zamani?

    Gender Based Violence and Homicide cases are now rampant in every corner of the country. I think a lot of social campaigns against such deeds should be increased. Naongea nikiwa hapa barabara ya Mukendo nikipata ugali na maziwa.
  2. jathurwa

    JKT yatangaza majina ya vijana waliohitimu Kidato cha Sita 2022 wanaotakiwa kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria

    Kuruta wakati umewadia twendeni tukafanye kazi za watu... Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  3. jathurwa

    Angalia jinsi manispaa ya musoma ilivyopangika

    Lindi ni kama imetelekezwa asee.. Naongea kwa niliyoyaona Nachingwea Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  4. jathurwa

    Ungekuwa karibu ungeomba nikuachie kitabu gani kati ya hivi ?

    Treasure island ni kizuri mzee
  5. jathurwa

    Maisha halisi nchini Marekani

    Huyu jamaa huwa uelewa wake nautilia mashaka sana.
  6. jathurwa

    Kitu gani kikubwa umewahi kumhonga mwanamke?

    " Never despise or laugh a man in matters which all people are prone, it is a matter of time and you become the victim you mocked" Vikings.
  7. jathurwa

    Hivi wachaga pekee ndio mnaweza biashara ya bar au nyumba za starehe?

    Mi nimeamua nizisake noti tu kichwani ni kuwa ukabila upo Tanzania japo wa chini chini. Cha msingi fuata unachokiamini, mkuu maisha magumu pambana sana, tengeneza empire yako lakini kikubwa hakikisha watoto wanapata elimu nzuri nasisitiza hapa na maarifa nje ya vyeti. Wewe huenda ulikosa hayo...
  8. jathurwa

    What is the biggest lie you have ever told Or heard on JF?

    [emoji23][emoji23][emoji23] jtatu ukitoka Emergency Department au internal medicine njoo CPL nikupeleke Villa Cafeteria uonane na muongo mwenzio.. Ukinikosa CPL utanikuta JKCI nikimsaidia Dr Janabi kutibu wagonjwa.
  9. jathurwa

    Naombeni ushauri wa haraka kuhusu huyu binti

    Nimesoma halafu nikarudi kuangalia identity nikaona mpwayungu village,,nikaona nikaona nimuachie Smart911 aje atoe ule ushauri wake unaishia " siku hizi ni wabishi"
  10. jathurwa

    Unamshauri nini kijana aliye chuoni sasa hivi juu ya maisha halisia kitaa?

    Amalize chuo kwanza maisha ya kitaa ni daraja akifika atalivuka pia.
  11. jathurwa

    Ni aina gani ya "solid cooking fat" yenye uafadhali?

    [emoji23][emoji23][emoji23] nilijua tu kuna mtu atakumbuka haya mafuta. Binafsi sijui mkuu ila najua sio mazur kwa afya ya moyo wako. Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  12. jathurwa

    Kwa Pre and Post Intern doctors

    Ebu nipe ufafanuzi. Ukifeli pre internship inakuwaje na ukifeli post internship inakuwa vipi. Nimeuliza kwa sababu ndo nimeanza kuzipanda ngazi kaka. Ufafanuzi wako ni muhimu. Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  13. jathurwa

    Udaktari unalipa?

    Nipo huku bado nakula madesa mzee kwa hiyo sina experience,,,ngoja niwaulize wajuvi kwa niaba Yako. Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
  14. jathurwa

    Jambo gani hutosahau wakati ukitafuta ajira/kazi

    After University kila mtu anakomaa man solo bro. Kusanuana kuna mengi.
  15. jathurwa

    Mbwa wa Bongo wanataseka sana, wamiliki wao wapewa elimu ya kuwatunza kwa utu.

    Nikiwa mdogo nilikuwa naona babu yangu anawapa mbwa mifupa na ugali uliokatwa vipande kwenye maji. Basi nikakua nikiamini mifupa ndio chakula sahihi cha mbwa. Siku moja naangalia kipindi cha mwanamke mmoja kinaitwa In My Shoes nikasikia akisema mbwa wake anamewawekea bajeti ya stake..ndipo...
Back
Top Bottom