Kwa Pre and Post Intern doctors

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
9,504
12,176
Kwa wanaojianda na mitihani ni vizuri ukushea na wenzako baadhi ya past papers , zilizokwishafanyika za MCT .
Nimeambatanisha PRE INTERNSHIP EXAM, October 2021.
Baadae nitaweka post internship exam ya March 2021.
 
Attachments

  • PRE INTERNSHIP EXAM.pdf
    688.6 KB · Views: 117
Ebu nipe ufafanuzi. Ukifeli pre internship inakuwaje na ukifeli post internship inakuwa vipi. Nimeuliza kwa sababu ndo nimeanza kuzipanda ngazi kaka. Ufafanuzi wako ni muhimu.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Ukifeli post internship unafanya sup
Ukifeli pre internship utaenda kwenda kufanya intern ila utakuwa na jambo lako baada ya internship kuisha
 
Back
Top Bottom