ha ha ha, mmenikumbusha wakati niko olevel apo Songe kabla haijawa girls, iyn kariakoo tulikuwa tunaiita kariashingo ndo ilikuwa base ya watolo wote, ukitoka mjini kama huna parmit unashukia hapo upite chocho ili kukwepa main gate.
Dah! Unajua sio wote wenye uwezo wa kuandika na kupanga mawazo yao ata kama ni mazuli like u did, big up mkuu, kuna muda uwa natamani vijana wote wa Tanganyika wangekuwa member wa JF Ili nao wapate fursa ya kujua kiundani kabisa jinsi nchi yao ilivyobinafsishwa, inauma kiukweli, Thank you God...
Motor Combart, Sunset beach, ila kiboko ni ile ya sokwe wa kwenye msitu wa Gombe staring akiwa Fifi umo ndani utakutana na wakina Kipara Mc Regan, ucpime kabisa ITV ya enzi izo
Hivi mnaomuombea uyu jamaa apone mnadhani Mungu ni mtanzania wakudanganywa na t-shirt na kofia? Let him gate what anachostahili, kaua wa2 wangapi? Kazurumu wangapi? Leo taifa halina hela ye na wenzake wanatibiwa ulaya ni mpiganaji kweli huyu au mwizi tu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.