Maafa makubwa kutokea serikali ikijaribu kufanya haya kwenye mgomo wa madaktari

kutokana taarifa zilizonifikia punde wakati nikipita katika hospitali zetu za rufaa na kuongea na baadhi ya madakatari kuna mpango ambao serikali ikiutekeleza itakuwa kwenye wakati mbaya na inawezekana ikamfanya mkuu wa nchi atishi uchaguzi wa uraisi mapema kabla ya 2015.

Mambo haya ni yafuatayo:-

1. Kuwafukuza madaktari wote na kuwaambia wa apply upya
2. Kuwaleta flying doctors (naomba tusiulize mambo ya malipo kwao, maana it is only spinal cord working by now)
3. Residents kufutiwa udhamini
4. Kuleta madaktari wa kichina au kutoka nje

mambo yatakayotokea
1. Mgomo utasambaa nchi nzima na utawahushisha kada zote mpaka manesi,utajuumuisha dispensary,hospitali za wilaya na hii itakuwa ni kuparalyse mfumo mzima wa afya tanzania
2.hawata apply kazi upya na wameapa kuwa wammoja mpaka mwisho wa mgomo kwa hiyo serikali itakuwa imepoteza na huu wamesema itakuwa ndio ticket ya kuondoka kwa baadhi ya madaktari.
3. Hii ya kufuta udhamini itawaumiza wananchi na taifa kwani tanzania ni ya mwisho duniani kwa ratio ya doctor to patient na kufikia malengo ya who ya patient to doctor ratio ya 1:7,500
the doctor : Patient ratio in tanzania is 1 : 26,000, uganda's rate is 1 : 8,000 and zambia's is 1: 11,000 source who
4. Mfumo wa flying doctors ni wa ghali za kuendesha na unaendeshwa na amref,unatumia wataalamu kutoka nchi husikana jirani sasa mara nyingi wanasaidia na na wataalamu wa ndani kuandaa vifaa na mambo mengine hapa naona serikali yetu ina maana imepata pesa wapi ya mipango ya dharura.
5. Iwapo manesi na kada nyingine ambao wanaonekana hawajagoma lakini wanajuwa madaktari wakifanikiw na wao wamefanikiwa hawatakubali kufanya kazi na hao watakaoletwa (hapa ni hatari)
6. Iwapo ikatokea baada ya huu mgomo tukawa tumewapoteza madaktari wetu kwa mfano wengine wkiamua kuachana kazi ya kutibu wakaenda kweny ngos,hospitali za private,research,siasa,private sector au hata wakaenda nje ya nchi hapa atayeumia si mwananchi wa chini. Gharama ya kumsomesha daktari mmoja si chini ya milioni 42 serikali yetu ipo tayari kupoteza kiasi hichi cha pesa?

Kama hospitali zetu hazina mashine za kisas nyingi ni mbovu,miaka ya hamsini ya uhuru hospitali ya taifa inaweza kuishiwa hata na gloves lakini hawataki kuambiwa ukweli wao wanasingizia kila kitu ni siasa/udini na mambo ambayo haya msingi.

Kama kweli madaktari wanalipwa vizuri kila sector iweke mishahara na marupuru yake hadharani tuone kama nchi itatawalika kama migomo haitatawala kila kona tuanze na mishahara tra, bot, tanapa, bunge alafu tulinganishe na ya madaktari, waalimu, wanajeshi, manesi, engeneers, lawyers etc alafu kama haipo sawa tuweke sawa ili tuache kutafuta mchawi kila mtu aridhike na professional yake na sio kulalamika kila kukicha.

Nawaunga mkono madaktari naamini mwisho wa siku ukweli utajulikana.

Mungu ibariki tanzania!

updates za mgomo kupatika mchana fuatilia hapa..

yeyote aliye karibu na mh. Mustapha mkulo naomba ampe ushauri huu

jedwali la kodi lirekebishwe ili kuweka kiwango cha juu cha kodi cha 70% kwa mshahara unaozidi shs. 4,000,000 (mshahara ujumlishe posho zote); akifanya hivi yafuatayo yatatokea

1. Automatically mshahara wa juu utakuwa shs 4,000,000 kwa sekta zote hata benki kuu kwani kiasi kinachozidi 4,000,000 kitakuwa kinarudi serikalini na hivyo makampuni hayatakuwa tayari kulipa zaidi ya shs 4,000,000

2. Uwiano wa mishahara kwa wanataaluma hautatofautiana, wote watakuwa na "seal" ya 4,000,000;

3. Wafanyakazi wa kigeni toka nchi zilizoendelea hawatapenda kufanya kazi tanzania hivyo kutoa fursa kubwa zaidi kwa wasomi wa kitanzania kufanya kazi zilizokuwa zinafanywa na wageni;

4. Hatutasikia migomo ya wasomi kama madaktari, waadhiri wa vyuo vikuu kwani hawa wasomi hugoma pale tofauti inapokuwa kubwa kati ya mishahara na marupurupu wanayolipwa ukilinganisha na sekta nyingine.
 
CRAAAAAAAAP. Hakuna kitu hapo ulichoandika zaidi yakuandika makala ndefu na ***** mtupu. Wafukuzwe na washitakiwe. Na wakija huku mtaani waje wapambane na sie magwiji wa Street University,wataomba wao wenyewe kurudi

Huna lolote wewe, kazi kupiga blabla tu. Nenda kaombe kazi ya Udakitari ipo wazi kwani mkuu wenu keshasema Serikali imejipanga lakini hadi muda huu hatuoni huduma katika mahosptali. Unafikiri kazi hii ni sawa na kuunga mchuzi wa dagaa.

Sasa sijui amejipanga kwenda katika mazishi kama ilivyo kawaida yao.

ACHENI PROPAGANDA TIMIZA WAJIBU.

KIMESHANUKA LAZIMA KIELEWEKE

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
:yawn:Mi Naona serikali sasa ifike wakati wa Kufanya maamuzi magumu like Kenyans,unajua mtoto akishajua kuwa kulilia ndiyo suluhu ya matatizo na Baba hampi bakora kazi yake itakuwa kulilia watuambie nani wanataka nani awaongoze mi Naona hata wakishushiwa malaika awaongoze watamkataa tu.
 
Kwa taarifa yako mleta mada huko Europe na US wapo madaktari ambao wanaweza kuja kufanya kazi kama volunteers hata bure hapa kwetu kwa kutambua kama nchi yenyewe ni maskini. Ni serikali tu kuomba huo msaada na jamaa wanatua hapa.
 
Hi mie sijaelewa, hivi kama serikali imejipanga kukabiliana na huu mgomo, na madaktari wapo majumbani mwao wamelala sasa kinachowafanya kina jabulani kuja kupiga makelele hapa ni nini? Si kila kitu kipo sawa na tuendelee na shughuli za kila siku?
 
Kwa taarifa yako mleta mada huko Europe na US wapo madaktari ambao wanaweza kuja kufanya kazi kama volunteers hata bure hapa kwetu kwa kutambua kama nchi yenyewe ni maskini. Ni serikali tu kuomba huo msaada na jamaa wanatua hapa.

Nani kakuambia wanafanya buree?? Nchi zao ndizo zinazowalipa na wanakuja kama msaada lakini baada ya hapo tutawapa migodi ya madini, mafuta tutakubali ukameroon etc. hiyo ndiyo bureee
 
Kwa taarifa yako mleta mada huko Europe na US wapo madaktari ambao wanaweza kuja kufanya kazi kama volunteers hata bure hapa kwetu kwa kutambua kama nchi yenyewe ni maskini. Ni serikali tu kuomba huo msaada na jamaa wanatua hapa.

Tatizo letu ni kuwa hatutaki kutoa jibu kwenye swali gumu. Hiyo ni temporarily measure, what about long term? Hata hao volunteers wanahitaji kujikimu kwani hao sio watu? Vifaa je? Hivyo navyo watakuja navyo au...?
 
CRAAAAAAAAP. Hakuna kitu hapo ulichoandika zaidi yakuandika makala ndefu na ***** mtupu. Wafukuzwe na washitakiwe. Na wakija huku mtaani waje wapambane na sie magwiji wa Street University,wataomba wao wenyewe kurudi

Watu wengine bwana!, Kwa nini usiijibu hoja kwa hoja? Mbona naona (kwa maoni yangu) ulichooandika wewe ndo ****?
 
Kwa taarifa yako mleta mada huko Europe na US wapo madaktari ambao wanaweza kuja kufanya kazi kama volunteers hata bure hapa kwetu kwa kutambua kama nchi yenyewe ni maskini. Ni serikali tu kuomba huo msaada na jamaa wanatua hapa.

usitumie masaburi hao volunters tumesoma nao na wengine tumefanya nao kazi kuna kitu kinaitwa tropical medicine they dont know this wewe hacha kuwa mtumwa wa wazungu. Pili wengi ni wazee wamesha stahafu sasa unafikiri mziki wakuona wagonjwa zaidi ya 20 watauweza.Usilete siasa kwenye professional za watu
 
CHADEMA wanataka kutumia maisha ya watanzania kujitafutia umaarufu wa kisiasa! Hili litawagharimu sana baadaye!

Kosa ambalo serikali italifanya ni kuufanya huu mgomo ni wa kisiasa au wa kidini. Nafikiri wakifanya hivyo CDM ndiyo watakaofaidika na huo utakuwa ni mwanzo wa mwisho wa CCM kwenye siasa za nchi hii.
 
CRAAAAAAAAP. Hakuna kitu hapo ulichoandika zaidi yakuandika makala ndefu na ***** mtupu. Wafukuzwe na washitakiwe. Na wakija huku mtaani waje wapambane na sie magwiji wa Street University,wataomba wao wenyewe kurudi

we kweli Jike la mbegu, maana mawazo yako kama unaujauzito vile,
 
CRAAAAAAAAP. Hakuna kitu hapo ulichoandika zaidi yakuandika makala ndefu na ***** mtupu. Wafukuzwe na washitakiwe. Na wakija huku mtaani waje wapambane na sie magwiji wa Street University,wataomba wao wenyewe kurudi

Mkuu, nakushangaa kuita alichokiandika Vimon ati ****!!!???.
Unataka kusema wewe hayo aliyoyaandika hujayaelewa?
Au ndiyo walewale kwenye ukweli mnaingiza siasa?
Pole san kwa kutokutaka kuuona ukweli.
 
Madaktari wangeorodhesha japo kwa kifupi vifo vinavyotakana na ukosefu wa vifaa/dawa. Serikali inaonekana kuzidisha propaganda hivyo nadhani ni vizuri kuonesha ni jinsi gani afya za watanzania zinawekwa hatarini kutokana na uzembe wa serikali.

Kwa mfano, waseme wagonjwa wanalala wangapi kwenye kitanda kimoja, hospitali ziko ngapi na ngapi kati yake zina x-ray na vifaa muhimu vya upasuaji, madaktari wanafanya kazi masaa mangapi kwa siku, na wanatumia mbinu gani pale wanapokosa vifaa muhimu. Kuna hospotali hata gloves hakuna! Doctors wanatakiwa sasa wajielekeze kwenye points ili kuzima hizi propaganda.

Rafiki FGM kwa uchache kabisa asilimia 50 ya vifo unavyovisikia na kuvishuhudia Tanzania tunaviweka katika kundi la preventable deaths. Kwa asilimia kubwa wa kulaumiwa ni serikali ijapokuwa watumishi wa afya nao wana share yao kwenye kulaumiwa. Serikali inajidai haina pesa lakini afya wala sio pesa nyingi inahitajika, kuna nchi kama Cuba, Costa-Rica n.k sio nchi tajiri lakini wananchi wao wanaishi maisha marefu sawa na wamarekani. Hii ni kwa sababu serikali zao zimewekeza kwenye mambo ya msingi yanayohusiana na afya za watu. Serikali haijawekeza na wala haina mpango wa kuwekeza kwenye makazi, maji safi ya kunywa, mipango miji, sheria za barabarani n.k ni siasa za kipumbavu tu kila kukicha. Watu wanavuta sigara kiholela kila mahali, mpka polisi watu wanavuta sigara bila wasiwasi, matokeo yake mikansa ya kila aina imejaa Ocean Road, lakini sheria zipo na faini juu.

Kama waziri wa afya anasema anawajibika kwa wakulima wa jimbo lake na sio watumishi wa afya, anasubiri nini, atimke akawafuate hao wakulima wake. Tufike mahali tuwe na accountable government, mtu akiongea ***** ajue itamcost sio kudharauliana kipumbavu halafu serikali inatetea ujinga.
 
Kama kweli madaktari wanalipwa vizuri kila sector iweke mishahara na marupuru yake hadharani tuone kama nchi itatawalika kama migomo haitatawala kila kona tuanze na mishahara TRA, BOT, TANAPA, BUNGE Alafu tulinganishe na ya madaktari, waalimu, wanajeshi, manesi, Engeneers, lawyers etc alafu kama haipo sawa tuweke sawa ili tuache kutafuta mchawi kila mtu aridhike na professional yake na sio kulalamika kila kukicha.

Naona madaktari wa serikali wana overstate uwezo wao.

Watanzania wengi hawatibiwi hospitali za serikali kwa sababu ya rushwa,kukosekana dawa na umbali ziliko hospitali hizo.Wengi siku hizi wanaponea mitishamba,kwa waganga wa kienyeji na kichina,hospitali binafsi kwa mashehe na viongozi wa makanisa.Ndio maana wenye shida siku hizi wamejaa makanisani kusaka maombezi na kwenye dawa za kichina.Sekta ya Afya ya serikali ni kama inakufa na wanaoua ni madaktari.Uliza maskini kabisa anayeenda kutibiwa hospitali ya serikali akapata panadol bure ni wangapi hata kama panadol zimejaa kwenye maghala.

Kaangalie hospitali binafsi wanakoenda kutibu hao madaktari wa hospitali za serikali part time vifaa wanavyoenda navyo na dawa zilizoko huko katika hospitali na maduka ya dawa ya kwao huwa wanazitoa wapi kama hujakuta wanakwapua hospitalini wanakofanyia kazi.Hebu ufanyike ukaguzi kwenye maduka na majumbani mwao kama havitakutwa vitu vya mahospitalini ya serikali.

Kuhusu kulipwa mishahara midogo si hoja kama walikuwa wanataka mishahara mikubwa ziko fani nyingi tu wangechukua hizo.Kusoma ni kujiwekeza (You invest in yourself) Kama ni mtafuta pesa ilikuwa uchuje fani gani uende kuliko kwenda ili mradi halafu baadaye usumbue mwajiri wako.Hakuna aliyewashinikiza kuwa wasomee madaktari.Udaktari unabaki wito mtaka pesa ni vizuri akaondoka akaacha udaktari aende TRA,BOT,TANAPA na huko BUNGENI kuliko kubaki kwenye corridor za Muhimbili na koti jeupe akijifanya daktari wakati hatibu hata nzi.Waondoke mhimbili haraka. Natamani wagonjwa vichaa wa muhimbili wangewatokea na nondo wawakimbize madaktari waliogoma muhimbili.

Serikali isitishiwe nyau. Tofauti ya kuwa na madaktari na kutokuwa nao sasa ni nini? sasa hivi hawatibu watu ni sawa tu na wakiwa hawapo.Saidi MWEMA peleka vijana wako wakawakimbize na virungu ni heri tujue tu muhimbili hamna madaktari kuliko kuwa na wazagaa mawodini wenye makoti meupe wasiotibu.Mtu anayeona udaktari haulipi aambiwe wazi bila kumeza maneno nenda huko kwenye mishahara mikubwa funga virago kwenda zako na usije omba kuajiriwa sekta ya afya tena hata hospitali binafsi huruhusiwi kufanya kazi au kuanzisha sababu una sifa ya kuua wagonjwa kwa migomo.Kwani iko siku madaktari wa namna hii hata wakienda hospitali binafsi za kwao watakuja kugoma kutibu sababu maslahi madogo biashara ya dawa na ada za kutoza wagonjwa hazilipi hivyo kuendeleza vifo vya wagonjwa tu.SERIKALI WAKE UP.
 
mpumbavu kweli wewe
 
Back
Top Bottom