they must...bado ngeleja
Na KIKWETE PIA
they must...bado ngeleja
kenya ukabila utawamaliza aisee??
Hawa wanafaa kuwa viongozi wa watu...napenda watu wanaokubali kuwajibika kwa manufaa ya wengi...Nadhani ni somo kwa watawala wetu...
Mbona amewachagua wakikuyu tu kwenye hizo nafasi?? kenya ukabila utawamaliza aisee??
they must...bado ngeleja
The new constitution at work......i like this......
Alipaswa kuchanganywa kwenye mashtaka,maana bila ujinga wake watu wasingefanya vurugu na maisha ya wa Kenya yasingepotea.Hivi source ya matatizo yote Kenya sio Kivuitu kweli aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi aliyesema nimeambiwa nimtangaze Kibaki kuwa mshindi wa urais?
hon director!!!!!!
umechizikaaa
Mnairobi usishangilie Uhuru Kenyata bado ni Deputy Prime Minister !.Ha ha ha ha waKenya pamoja na kujisifu na katiba yao lakini Mzee Kibaki anawachezea kama midoli.
ana-cover up some interests at Finance Ministry! In short he does not trust any other monkey out of his tribeWala hujakosea mazee. Nd'o zake huyu mdingi. Anafanya vitu vya kutisha namna hii hata walokua wanamtetea
wanasema basi tena...:smash:
wapelekee wakenya toa huu uchafu hapa
Siyo Bongo...they must...bado ngeleja