Ninamchumba sinamuda nae mrefu ninamiezi nae3 ndani ya miezi hii aliniforce ili alete barua kwe2 nikamruhusu. Nikackia kumbe alikuwa na mwanamke kampa mimba nikajamuuliza kakubali kama alikuwa nae ila kuhusu mimba ye hajui. Nikamkataza kucheza kamali kumbe bado anacheza kwa kujificha. Juzi...
Naomba ushauri wenu wana jf. Niko na mchumba sina muda nae sana ninamiezi nae mi3, huyu mchumba aliniforce sana kuleta barua kwe2 nikamkubalia, sasa ninasikia v2ko vyake vngi nimeckia alikuwa na mwanamke kampa mimba hlo me hajanambia kuja kumuuliza kakubali ila kasema walishaachana kuhusu mimba...
aisee nashukuru kwa kupata taarifa maana nilikuwa sijajua mpaka dk hii kilichomuua mpendwa we2 sk. sasa lulu bora atolewe apumue na familia yake ifurahi ila nahisi akitoka roho yake itakuwa mali ya wengi
nawashukuru kwa ushauri wenu wana jf laaziz amenielewa nimeongea nae kwa kirefu hatimae chaunabe wetu ameumbuka. aisee nawashukuru sn tena sana sina tu cha kuwalipa mungu awape maisha marefu tuzidi kushauriana
inaonekana wali nazi we unaelewa mengi juu ya ukweli uliojificha wa kifo cha kanumba. tafadhali nijibu na mm roho yangu itulie maana unvyojibu kwa mkato hata sikuelewi mwenzangu
wana jf naombeni ukweli juu ya hili eti kila kona ukipita watu wanasema kuwa lulu alitumwa kumuua kanumba hivyo anayejua lolote naomba anijuze huyo mtu aliyemtuma ni nani?
aisee kwa kweli me najuta kumpatia virginity yangu m2 ambae sikuwa moyoni mwake. kwa kweli niliji2nza na nilivyompata yeye nikaona mwanaume ndo huyu nikamkabidhi moyo wangu wote na mwili wangu kwa kweli yaliyonikuta baada ya hapo ni mazito ambayo yananifanya mpaka leo nijute. aliniendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.