wana jf juuuu mko juu sana hatimae laazizi amenielewa

Apr 7, 2012
32
5
nawashukuru kwa ushauri wenu wana jf laaziz amenielewa nimeongea nae kwa kirefu hatimae chaunabe wetu ameumbuka. aisee nawashukuru sn tena sana sina tu cha kuwalipa mungu awape maisha marefu tuzidi kushauriana
 
Back
Top Bottom