Nimeisoma Makala nimeilelewa ila napenda niulize kidogo kwenye changamoto ulizozisema za kuku wa kienyeji?
1.Umesema mayai yake kwa vile yamerutubishwa yanawahi kuharibika (NI KWELI NAKUBALI)...lakini pia hata chotara mayai yao yamerutubishwa na yanawahi kuharibika vilevile....Hujatuambia...
Habari zenu wanajamvi ?
Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji bahati mbaya nafugia kijijini umeme haujafika nilianza na kuku 100 tetea wakiwa zaidi ya 80 sasa nashukuru Mungu ninavifaranga zaidi ya 100
Niliamua kuwatenganisha kuku wenye vifaranga kwenye banda jingine pembeni nikizani...
kumekua na kero ya umeme kukatwa kila siku bila hata Matangazo na hatujui nini tatizo,ni week ya tatu sasa tangu kero hiyi kuanza mlioko Songea mtakua shahidi,Hivyo tunaomba Tanesco watueleze wananchi kinachoendelea .'information is power"
Mijitu ya namna hii ni migumu kufa.....Tabia zake za uchochezi zinanikera sana jana nilishangilia nikijua police walishamaliza kazi kumbe nao ni Bungila tu au hawakuahidiwa dau nono?
Police wetu ni mdembwedo tu yaani hawana shabaha kabisa kama mliamua kupiga Risasi si mngeua kabisa sasa mmemuacha hai ili iweje sasa,au Jamaa anazuga tu maana sioni dalili ya kujeruhiwa asije akawa anacheza na hisia za watu huyu mwanaharamu maana ndo kazi yake kuchochea kwa kifupi hatofautiani...
Elewa ujumbe vizuri TCU wamesema aombe kama alichaguliwa chuo ambacho hakukiomba mwanzo ila nikijaribu kumuombea ndio wanatoa hiyo sms ambayo inamaanisha kuwa alishakua adimitted swali la msingi ni kwamba wanamaanisha kawa adimitted chuo kingine tofauti na walichomchagua ambacho hakikuwa...
Jamani ninamdogo wangu alichagulwa chuo ambacho hakuomba kkulingana na Tangazo lililo wekwa kwenye Hope page ya TCU (tcu.co.tz: The Leading TCU Site on the Net) nimejaribu kumuombea second round lakini napata sms hiii.."DEAR APPLICANT!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE PER...
kwa kifupi acc yake inaonekana hivi angalia hapo kwenye chaguo la kwanza
Admitted in Bachelor of Computer with Education at St. Joseph College Branch Songea
Code
Description...
Jamani naomba msaada kunabinamu yangu kachaguliwa chuo ambacho hakuomba ila kwenye Selection status yake ya chaguo la kwanza hajaandikiwa chochote ila chaguo la 2 hadi 8 kaandikiwa not Adimitted....swali langu je ni wote ambao mmechaguliwa vyuo ambavyo hamkuomba kuna kitu hiocho kwenye selection...
Soma swali ulielewe..nimesema hawajaweka majina ya watu walioomba kwa equivalent (hata kama sikuchaguliwa hao wengine mbona hawajawekwa sasa?) na kwa taarifa yako mhusika aliomba vyuo hivyo viwili tu
Usirukie kujibu kitu kama hukuelewa swali
Jamani nashangaa kwa nn hawa wa equivalent qualifiction majina yao hayajawekwa kwenye orodha wakati wote waliomba kupitia TCU na mchakato wa kuchaguliwa ulishafanyika kwa wote tayari?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.