jaridotcom2
Member
- Jul 26, 2012
- 62
- 11
Jamani naomba msaada kunabinamu yangu kachaguliwa chuo ambacho hakuomba ila kwenye Selection status yake ya chaguo la kwanza hajaandikiwa chochote ila chaguo la 2 hadi 8 kaandikiwa not Adimitted....swali langu je ni wote ambao mmechaguliwa vyuo ambavyo hamkuomba kuna kitu hiocho kwenye selection status zenu tusaidiane ili nijue cha kumujibu.