Recent content by Jaqen

  1. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Albums na EPs kali za kibongo

    Niaje wakuu??? Isivyo bahati mimi naenjoy zaidi mziki kwa mafungu kwaio Albums na EPs ndio mambo yangu, kibongo bongo ii ndio listi yangu ya Albums na EPs ninazopenda kuskiliza; 1. MBUZI - Young Lunya 2. MONEY MONDAYS - V-Money 3. BOYFRIENDS LIFE - Bruce Africa 4. The Kid you know - Marioo...
  2. Jaqen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe mwanamke usikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya

    Wote ao Wana nafasi yao Kwa jamii, mama yangu ni single mother na ni MTU poa zaaiiidi mno
  3. Jaqen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania True Story: Kupenda

    😁😁😁😁😁
  4. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Simba Tunaanza kujadili saa ngapi Magoli ya Yanga dhidi ya IHEFU?

    Goli la Maxi vipi wakuu???
  5. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Arteta ameanza kukua kimpira amebakisha vitu vichache awe kocha bora

    Arteta amejipata siku Mingii, ni wewe tu ulikua humuamini
  6. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Ngumu kumeza

    Hahah!! Bangi sio poa
  7. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Ngumu kumeza

    Bado najitafuta mkuu
  8. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Ngumu kumeza

    Me shabiki wa Simba, Ila mpira ulikua mzuri
  9. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Ngumu kumeza

    Bob Marley aliwai kusema "the good thing about music, when it hits you, you feel no pain". Sikatai lakini... Jana baada ya mechi ya yanga na kuchoma Cannabis Sativa kidogo niliingia local bar nikaagiza Pilsner bariidiiii. Nikaendelea kuilamba asteaste nikiskiza Rhumba safi za kitambo na kuosha...
  10. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu ya maaandamano ya CHADEMA

    Walifanikiwa kufanya mazoezi...
  11. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hehe! ati Takuma Asano, ningependa zaidi kama Kai angefunga arudishe confidence..
  12. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Wauana kibandaumiza kisa VAR ya Arsenal V Man U

    Hehe! shabiki wa Chelsea bila shaka
  13. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mba

    Ugonjwa wa vitoto visiopenda kuoga...
  14. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Wauana kibandaumiza kisa VAR ya Arsenal V Man U

    Mungu amlaze pema bana!!!!
  15. Jaqen

    JamiiForums Tanzania Wauana kibandaumiza kisa VAR ya Arsenal V Man U

    Haitokei Afrika tu. Kitu imeniuzi ni kijana wetu wa Arsenali hakuweza kurudisha mashambulizi, angalau angemtia ukilema uyo fala wa Yanaited
Back
Top Bottom