True Story: Kupenda

bigmen

Senior Member
Jul 3, 2020
145
312
True story,

Tangu nimezaliwa mpaka Sasa nishakuwa kwenye mahusiano serious ×3 ukiachana na zile chapa ilale ambazo nimepita mpaka sikumbuki idadi ya nliopitanao, Na kwa Sasa Niko single Wala sipigi chapa ilale tena,

Ila hivi karibuni nimepita changamoto Sana, Kuna mtoto mumoja mchaga wa huru milimani huko kanichanganya sana. Hakika sijawahi penda Kama navyo mpenda yy, nilianza mtafuta tangu mwakajana mwezi wa tano.

Bro/sister nakuambiaje nilikuwa namjali sana, hata akipata tatizo nalichukulia Kama langu nimegharamika Sana kuonesha upendo wa Hali ya juu, lkn huez amini Hyu binti alikuwa ananipiga matukio makali Sana.

Niliumwa kipindi flani na akapata taarifa Ila hakunicheki hata kidogo nilipo mcheki mm tukaongea Kama Lisaa hivi halafu badae akawa hapokei cm Kama wiki hivi, lkn nkiulizia watu wengine anaongea nao, Kuna siku aliniblock bila tatizo lkn nilipo mtafuta kosa likawa langu nikaomba msamaha mm, mwisho kabisa ni juz juz aliacha kupokea sm kwa Mara nyingine tena na na hapo nilipo kuja kumpata (alipopokea) sikumuuliza shida nn maana angekasirika, nikamuomba anipe jibu langu Ila huezi amini dakika za mwisho mtoto hanitaki eti kwakweli unauma Sanaa Wana JF.

Naombeni ushauri wenu.
Screenshot_20240317-140737.png
 
Nilikuwa Sina ujanja maana simu zangu hapokei kabisa, Sasa ningewezaje kueleza hisia zangu akanielewa bila kuandika sms ndefu
Kiume kabisa. Uyo demu atakusumbua. Najua ukweli mchungu, ila kwakua ushamwambia hisia, zako. Ebu mpe mida na yeye ajaribu kukupenda. Usimforce.

Sahivi fanya mambo yako. Usimtext hadi akutext. Anza na siku 2 bila kumcheki. Kisha unamcheki. Then unakuja week bila kumcheki. Then unampa hi. Kisha potea mwezi. Bora urudi tabia ya kuchapa chapa kuliko kushusha brand
 
Kiume kabisa. Uyo demu atakusumbua. Najua ukweli mchungu, ila kwakua ushamwambia hisia, zako. Ebu mpe mida na yeye ajaribu kukupenda. Usimforce.

Sahivi fanya mambo yako. Usimtext hadi akutext. Anza na siku 2 bila kumcheki. Kisha unamcheki. Then unakuja week bila kumcheki. Then unampa hi. Kisha potea mwezi. Bora urudi tabia ya kuchapa chapa kuliko kushusha brand
Sawa nitaanza kufanya hivyo
 
Juzi tu hapa kuna demu nilikua namkubali kinoma na so kumkubali tu nilikua nampenda. Nilitumia sana baada ya kumkuta na mishikaji muuza duka🫣. Niliumia sana. Na chaajabu huyo jamaa hajanizidi chochote. Nilipo Kutana naye na kumuuliza akawa anajikanyagakanyaga. Ni nakaachananaye na maisha yanasonga. Hivi viumbe siyo vya kuvizingatia😎😎😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom