Recent content by January Kaganga

  1. J

    JamiiForums Tanzania Taja vinywaji ambavyo huwezi kunywa maisha

    Nachukia na sitaki kinywaji cha aina yeyote ile chenye kileo
  2. J

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hizi button kwenye gari

    Asante sana kutuelimisha, jee na ile namba 2 na L chini yake vinafanyaje kazi? na kwa wakati gani?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya hizi button kwenye gari

    Asante umetufungua wengi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Asili na Chimbuko la Makabila Yote Tanzania na Africa

    Bacteria walioishi na kutokea baharini. Nisaidieni kunijulisha: 1. Bacteria hao walitoka wapi? 2. Bahari nayo iliktoka wapi?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kutokula nyama siku ya ijumaa kuu inatoka wapi?

    Huo ni utamaduni wa mapokeo, biblia haijatoa agizo hilo la kutokula nyama siku ya Ijumaa kuu
  6. J

    JamiiForums Tanzania Dagaa wanaitwaje kwa kingereza?

    Small fish
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mkoa Gani Una Baridi Kupita Yote Tanzania?

    Kunjombe
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nauza mbwa wa kisasa wa ulinzi

    Nahitaji mbwa Germanysharphd dume miezi miwili au mmoja. Nitumie picha na bei yake kwa WhatsApp tumia namba yangu 0787344999 au wasiliana nami kwa namba 0655344999
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbwa mdogo

    Wapendwa natafuta mbwa mdogo wa kisasa mbegu kibwa. Mawasiliano yangu ni 0655344999 kwa WhatsApp utanipata kwa namba +255787344999
  10. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya gari aina ya carina TI

    Naomba kujua bei ya gari caring TI kuna mtu anataka anunue
Back
Top Bottom