Nauza mbwa wa kisasa wa ulinzi

Nauza mbwa wa kisasa wa ulinzi

Hahahahaaaaaaa,nimekumbuka mistari ya marehemu ngwea kwenye nyimbo ya cnn anasema 'nina hela hadi natamani kujiteka',ndio huyu mleta mada,umetisha mkuu
 
Mbwa bora, wamepata chanjo zote, afya bora, kwa mahitaji ya kununua au ushauri kuhusu ufugaji bora wa mbwa nipigie. Pia na supply nyumba za KISASA za mbwa. Karibu
Kiongoz Unafanya Biashara Au Masihara? Next Time Ukiweka Tangazo Hakikisha Lina Taarifa Zote Muhimu. Eg Breed Ya Mbwa Unaouza
 
Kiongoz Unafanya Biashara Au Masihara? Next Time Ukiweka Tangazo Hakikisha Lina Taarifa Zote Muhimu. Eg Breed Ya Mbwa Unaouza

Ninazo aina mbali mbali za mbwa umri tofauti tofauti samahanini kwa kilicho tokea mambo ya smartphone hayo hata mi nimecheka sana
 
Acha tu mkuu, JF ina vijimambo si mchezo

Asingekosea angejijibu mwenyewe si ajabu mpk kujaza uzi


Hahaha ni kama yule jamaa anajiita pozzyfaza. Thread una wachangiaji 200 ila 190 ni commentes zake mwenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom