J January Kaganga Member Jun 21, 2017 12 2 Jun 23, 2017 #1 Naomba kujua bei ya gari caring TI kuna mtu anataka anunue
N nsereko m JF-Expert Member Jul 28, 2015 2,930 2,170 Jun 23, 2017 #2 ingia beforward au makampuni mengine kama sbt utapata maelezo mengi kuhusiana na magari na bei zake.
N nsereko m JF-Expert Member Jul 28, 2015 2,930 2,170 Jun 23, 2017 #3 ingia beforward au makampuni mengine kama sbt utapata maelezo mengi kuhusiana na magari na bei zake.
skfull JF-Expert Member Dec 24, 2013 2,944 2,376 Jun 23, 2017 #4 Inategemea na condition ya Gari lenyewe Ila haizidi ml 13
B Baba Jazey JF-Expert Member Apr 14, 2016 496 542 Jun 23, 2017 #5 kati ya 10-15m, inategemea na bei utakayo nunu Japan na hali ya Gari