Recent content by Jang Bo Go

  1. J

    Poleni walimu/watumishi, Godfrey Zambi na watu Wa tabia yako, Rais hakuwatumeni kufanya hayo

    I Ungejibu hoja ingependeza zaidi. Maana inaonyesha una chuki zako binafsi. Tunasubiri hiyo video.
  2. J

    Poleni walimu/watumishi, Godfrey Zambi na watu Wa tabia yako, Rais hakuwatumeni kufanya hayo

    Mtoa mada na wewe ni mwalimu? Maana uandishi wako mbovu mnoo. Kwa kweli walimu wengi uwezo wao ni mdogo maana wengi wana ufaulu mdogo. Ni jukumu la serikali kuanza kuajiri walimu wenye uwezo mkubwa na waliofaulu vizuri. Baada ya hapo warudishe heshima kwa kada ya ualimu kwa kuboresha masilahi...
  3. J

    Pongezi Jeshi la Polisi. Japo Nabii hakubaliki nyumbani, Jeshi sasa ni Sikivu, Most friendly na very hospitable

    Kweli elimu ya nchi hii ni changamoto Inasikitisha kuona asilimia 90 ya wachangiaji hawajamuelewa mtoa mada. Muwe mnajitahidi kushughulisha akili. Halafu kama hujaelewa maada ni bora ukae kimya. Mtoa mada safi sana.
  4. J

    MJADALA: Nini chanzo cha kushamiri kwa biashara ya ngono jijini Dar es Salaam?

    Wamepandisha jero Nikiwa sekondari mwaka 2005 bei ilikua buku kwa bao moja.
  5. J

    Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

    Noma mzee, hata huu mpunga ulioingia nimeshaukwangua wote.
  6. J

    Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

    Mpaka muda huu saa 13:26 "salio lako halitoshelezi"
  7. J

    Kwa wanaume wote wanaosoma JamiiForums

    Movie na series zinaharibu vijana. Wale wanaigiza mapenzi tu, watu wana stress bongo hawana muda wa kupoteza kupapasana saa zima.
  8. J

    Zanzibar: Akutana na kipigo baada ya kuonekana akila mchana!

    USIMPIGANIE MUNGU ACHA MUNGU AKUPIGANIE
  9. J

    Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Tuangalie tulipojikwaa na sio tulipoangukia. Hakuna hoja hapo zaidi ya kumpandisha chati Lissu.
  10. J

    Sehemu gani unaiogopa sana katika safari zako?

    Barabara ya kutoka Mbeya kwenda Chunya kuna sehemu kuna makorongo sio ya nchi hii.
  11. J

    Lembeli: Sirudi CCM Ng’o!

    Njaa haijamkamata vizuri bado
Back
Top Bottom