Recent content by jane simwimba

  1. J

    JamiiForums Tanzania Graduate, mshahara chini ya milioni moja usifanye kazi

    Acha tu mwenyewe nina 4 yrs home nimeshazunguka mpaka nahic kukata tamaa kila kukicha ni stress za kutosha hapa nikipata kazi hata ya laki2 nabeba acha wanaojidaganya kua wanataka mshahara wa milioni
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Nichek hapa unipe maelekezo 0755948138
  3. J

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye kazi

    0755948138
  4. J

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye kazi

    0755948138 nichek whatsapp
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mapya ya elimu mulugo

    Mh! Cha mcngi tafuta shule nyingine Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  6. J

    JamiiForums Tanzania Anahitaji ushauri kuhusu hili:

    He! Makubwa wafanye online how kweli ukistaajabu ya musa utaona ya firauni Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tapeli anaetumia namba 0767813664

    Ndio njia walizogundua ckuizi lkn tumewashtukia cha mcngi ni kuwaumbua ivoivo Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  8. J

    JamiiForums Tanzania Njiani kuelekea theatre: naomba sala zenu...

    Ucjali Mungu yu pamoja nawe utakua salama Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mliosoma au kuifahamu Tumaini - Iringa, je hii ni kweli?

    Sio kweli hio kitu ni uzushi tu suala la mtu kukosa ajir kwa sasa ni kawaida sana mbona wapo kibao walosoma iyo course pale tumaini na wameajiriwa Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuacha kumsaliti mke wangu

    Nakushauri jiepushe kwenda huko kwenye starehe labda ndiko kunakokupa vishawishi au labda ni pepo huyo so omba Mungu sana coz kuna cku mkeo atagundua na itakua mbaya Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi (UBT) kuhama Januari 15, 2013 kwenda Mbezi Luis

    Ngoja tusubiri tuone Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye shida ni mimi au wakwe zangu?

    Ww ni mwanaume lzma uwe na sauti bana Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  13. J

    JamiiForums Tanzania Vasectomy imeniponza: Mke wangu ana mimba ya wajanja, nifanyeje!

    Huyo mwanamke sio mwaminifu cha msingi fanya DNA ili upate uhakika kama nahao wengine ni wako Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuhama kazi ofisini ni Wengi Kama graduates wanaotafuta kazi

    Ni kweli kabisa hali sio nzuri ukipata mahali pa kujishikiza unatamani utoke na ukitoka napo kurudi kitaa ni noma huko hali ndio mbaya zaidi wasomi kibao ajira hakuna ee Mungu tusaidie
Back
Top Bottom