Karibu tufanye kazi

Karibu tufanye kazi

hivi ni nani anaemwambia mtu atembeze bidhaa!?...nawafahamu member zaid ya 50 na sijawah kuona wakitembeza bidhaa..acheni kutafsiri vibaya kazi za watu zinazotufanya tunaishi mjini! kama hujui kitu si upite tu kimya kimya kuna tatizo kwani?!..nimehitaji watu makini na serious tu tufanye yetu kama unaona haikufahi pita hivii....hulazimishwi!

wote mlionitumia namba zenu pm na hapa ntawatafuta leo tufanye kazi!!.

thanks.
 
Hii biashara inaweza kumtoa mtu from nothing to the something km atakuwa serious sema watu hawajui tu

tatizo tunatofautiana uelewa!!. mtu anadhani anaposikia forever living basi ni kutembeza bidhaa.,nani kasema?!.anaetembeza kapenda! lakn ukitumia akili na ukiwa serious unafanikiwa zaid na zaid!!,nafahamu watu wengi walioanzia chini na wakafanikiwa!!..kuna mtu tunafanya nae kazi kidogo anamda mrefu anapokea milioni kumi kwa mwezi na alianzia chini,na sio yeye tu dharau hapana kwakweli.
 
habari,.
nawashukuru mliojitokeza na wengine nawakaribisha tena watu wote kuanzia miaka 18 na kuendelea! kama unajiamini unaweza kuwa muaminifu na ukafanya kazi nzuri ni PM namba yako ntakutafuta watsapp.

ni biashara ya mtandao inayolipa vizuri ukijituma,zaid ujue unataka nini,.narudia tena ni PM namba yako ya simu ntakutafuta,na wale mlionipm maelezo sina mda wa kuchat na kueleza sana! we ni PM namba ya simu unayotumia watsapp nikutafute.

inapendeza zaid ukiwa dar! ili tufanye team work nzuri! japo na mikoani karibuni sana.

asanteni.

Mi sijaelewa ku PM, hebu nieleweshe nikutafute.
 
sawa,wote mliotuma namba tena ntawatafuta,wengne tunaendelea kuwasiliana,tujitahidi kuwa serious,karibuni wengine pia,
 
habari!!.

napenda kuwasalimu wote wa hapa!!.

ningependa kuwajulisha wale wote mlionitumia namba zenu hapa na kwa pm! wote niliokwisha watafuta na wengine mnaozidi kunitumia namba zenu!!.wengi wenu ni wa hapa dar~es salaam!

ivo kwa siku ya kesho j.mosi tarehe 12.07.2014 kuanzia mida ya saa nne asubuhi posta mpya karibu ya mnara wa askari jengo la ips gorofa ya 11. kutakuwa na mafunzo kidogo juu ya biashara na mambo mengine yahusuyo kazi..ivo nawakaribisha wote mlionitafuta hapa pamoja na wengine mje tukutane hapo tujue tunafanyaje kulisukuwa hili gurudumu!. kwa mnaopenda kuwa nasi hyo kesho pia karibuni. ni PM namba yako ntakutafuta.

asanteni,!
 
Pyramid ya kunufaisha waliokwisha kutangalia so it's basically biashara ya mateso ya kudumu huku ukiendelea kuwa maskini na nguvu zako kushia chini wakati wakubwa wakifaidika-think big before kuingia huku better start your thing hata na 10,000 but your own
 
Pyramid business mode angalia wanaokuwa Masafaya meneja, diamond meneja ni walewale kila mwaka sasa utasema nn hapo na inatake time kwa mtu asiyeweza kumuifluence mwenzake ajiunge hawez kwenda popote mm nimefanya sana dat business mpaka success day karibu tano nimehuduria aliye chini yu chin tuuuuuuu
 
Pyramid business mode angalia wanaokuwa Masafaya meneja, diamond meneja ni walewale kila mwaka sasa utasema nn hapo na inatake time kwa mtu asiyeweza kumuifluence mwenzake ajiunge hawez kwenda popote mm nimefanya sana dat business mpaka success day karibu tano nimehuduria aliye chini yu chin tuuuuuuu

Uvivu Wako!!.Sina Mda Mrefu Sana Ndani Ya Hii Biashara Lakini Inanilipa Sana!!,pole my!
 
Back
Top Bottom