Recent content by Jandotz

  1. J

    Mtu kapigwa risasi Mlimani City Dar es salaam

    RIP ADSON. Kupata ajira ni ngumu sana, ukisema ujiajiri kihalali mazingira yake magumu, na wasomi Kila siku wanaongezeka, mwisho wake watu wanajiajiri kwa njia haramu kama Hizi. Kuaminiana kwenye jamii kunapungua Kila siku.....
  2. J

    Wanaume: Piga Ua, wanawake uliosoma nao wameshazeeka

    Hmm!, Inategemea , kama akili yako inapenda uzee basi utapenda uonekane mzee. Binafsi sipendi muonekano wa kizee Japo napenda busara za kizee. Hii inanifanya nihakikishe naonekana kijana siku zote Japo # zinazidi kuongeza ila naziona kama za kawaida tu. Ila Ni vizuri Kuwa na mwonekano...
  3. J

    Hii tabia sio kabisa wadau

    Esimermi huruma watoto wa wenzenu....si umwambie tu haumtaki asikufuatilie kuliko kukomoana na kuharibiana bajeti..
  4. J

    Hii tabia sio kabisa wadau

    Ha ha ha ha ha mbavu Zangu......du watu mna majibu hadi raha.....
  5. J

    Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

    Nampenda sana Jide, anajitambua,mtulivu ,mvumilivu na kikubwa zaidi ni mchapakazi. Kama ni kweli POLE SANA JIDE.
  6. J

    Ndoa ya Jay Dee na Gardner Habash yavunjika

    Naomba hii habari isiwe ya kweli, nampenda sana nisigependa apate maumivu yoyote. Na kama ni kweli basi POLE SANA JIDE, ILA MUNGU NI MUWEZA ATAKUPA FARAJA. Na naamini wewe ni mpambanaji hautaangushwa na hili Japo litakuuma, KUMPENDA ASIYEJITAMBUA NI SHIDA TU, BORA KUBEBA KAA LA MOTO KWENYE UPARA..
  7. J

    Nimechanganyikiwa na ndoa yangu

    HAMUUMWI eti ila Mnatazamana tu Miez 9 paa 1?!!, chumba kimoja?!!, MUME NA MKE......MNAPENDANA KWELI.?..... AU MMEOANA kufurahisha jamii inayowazunguka..... Hizi ndoa Hizi zina siri nyingi....ila MIPETE MIKUUUUUBWA KWENYE VIDOLENI.....
  8. J

    Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

    Hii ya mwanaume kujisifia uzuri ni mpya kwangu....Eeh Mola kinisuru kizazi hiki.
  9. J

    Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

    Ha ha ha ha taratiiibu ndugu.
  10. J

    Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

    Ha ha ha ha taratiiibu ndugu.
  11. J

    Mke Vs Mchepuko: Nani ana haki zaidi? says who? THE HARD TRUTH

    lala1 , naomba utunge kitabu, na ukimaliza kitabu naomba niwe customer wako # 1.... Ngoja nisubiri majibu ya maswali haya mawili..... Mtani niongeze kikombe cha ghahawa naendelea kuwepo hapa......
  12. J

    Zijue aina nne (4) za michepuko

    Ha ha ha ha kinyago tena.....kwel adui wa KE na KE mwenzie halafu Me ni kama refaree akishuhudia ugomvi na kusubiri mshindi.
  13. J

    Mwanaume mwenye thamani

    Ha ha ha haaaa, kha!! asante.
Back
Top Bottom