Nimechanganyikiwa na ndoa yangu

Nimechanganyikiwa na ndoa yangu

Je umeshaongea naye? Je umeshamuonesha hisia zako? Hebu jaribu kujiachia mbele yake ukiwa mtupu halafu uone matokeo :A S wink:
 
swali la msingi ushawah kumuanzishia na hakutoa ushirikiano au ndio unasubir aanze yeye???
 
Halafu we dada inavyoonyesha sijui ni wale "rara nikurenge"?nijuavyo mimi sex analianzisha yeyote yule,ila wewe unamuonea aibu,ingekua ukimuomba anakomaa anakutolea nje ningesema ni another case!!

Hah hah mkuu umenikumbusha mbali sana nilikutana na binti M C H A G A chuo kila niki ........ nae ni rara nikurenge
 
Mimi sioni ishu hapa japo sipo kwenye ndoa.Tatizo lenu nyie wakike mnapenda kuanzwa,huyo ni mume wako sio boyfriend,kama unataka gegedo wewe mkamate anza mambo uone kama atakataa.Hata sisi wanaume huwa tunahitaji muwe mnaanza sio kila wakati tuanze sisi
 
mmmh!inakuwaje asikuguse? inamaana hamlali kitanda kimoja? muanzishie fujo za kitandani uone kama atapindua.
 
mm na mai wife huwa tunacheza mechi mpaka siku anapata uchungu, akijifungua anapumzika wiki sita tu, then tnaanza mechi kama kawa, hakuna kupumzika. Kila mwaka tunanunua kitanda kipya kwa sababu ya uharibifu unaotokana na mechi za usiku.
 
Pole dia tena pole saana...Hivyo mie BF wangu ilimtokea mwaka mzima baada ya kujfungua mme hamgusi...Kumbe kulikuwa na mtu pembeni..Hata mwanamke alikuwa kimsogezea mumewe mkono mwanaume anautoa....Changamkaa usilale, chunguza...muweke tight mumeo...Ongeza mahaba, mtege...Ongea nae...Kuna jambo...Inamaana yeye huyo anayempunguza hamu nani? Ni uongo akikuambia kuwa yupo tuu hivyo hivyo haja do ...Yupo anayekuzunguka kumridhisha we akija ashazimaliza.....

Tatizo baadhi wanaume hawana ustahamilivu...Wanapaswa wafahamu kipindi cha ujauzito mwanamke anapitia mambo mengi, hormone zinabadilika unaweza hata usimtake mumeo...Wanatakiwa wawe wavumilivu jamani...

Na michepuko mingine inajua kubana mbayaaa...inaweza sababisha hadi mume akakuona hufai.

Kuleni kwa ustaarabu basi...Kumfanyia hivyo mkeo ni laana..








Hi JF members, naomba ushauri kwa wale waliopo kwenye ndoa.

Ni hivi nimeolewa na nina mtoto mmoja, lakini nina miezi tisa sijashiriki kimapenzi na mme wangu, sio kwamba sitaki la, ni vile naona mwenzangu hajishughuli nami, ishu ni hivi nimekaa na mme wangu miaka miwili ya uchumba nina uhakika na kazi yake kunako sita kwa sita,tumeoana mwaka jana,wakati huo nikiwa mjamzito wa miezi mitano, kiukweli kutokana na hali ujauzito sikuwa najisikia sana kushiriki na mme wangu nafikiri pia naye alielewa hali ile hivo hakuwa msumbufu.

Mimi nafanya kazi mkoa tofauti, hivo nilirudi kazini kwangu, mwezi wa tatu nilirudi kwaajili ya kujifungua, nilijifungua salama baada ya mwezi niliondoka kwenda kwa mama mkwe wangu.

Kama mnavojua vichanga vinasumbua kiasi kwamba mwenzangu alikosa ufanisi kazini kwasababu ya kukesha mtoto akilia, kwasasa mwanetu anamiezi minne na nusu.

Nipo kwa mme wangu nilipata uhamisho kazini, lakini mme ndo hivo hana habari namimi inamaana hajanigusa tangu mimba inamiezi mitano, mme wangu anaupendo sana na hakuna kilichobadilika kwake ananijali sana, lakini naona hii hali inaniogopesha au kapata mchepuko, je au anaona atanisumbua manaake mtoto nae husumbua usiku?

Jamani hivi hii ni sawa kweli kwa mwanaume rijali?

Mliopo kwenye ndoa msaada tafadhari.
 
HAMUUMWI eti ila Mnatazamana tu Miez 9 paa 1?!!, chumba kimoja?!!, MUME NA MKE......MNAPENDANA KWELI.?..... AU MMEOANA kufurahisha jamii inayowazunguka.....
Hizi ndoa Hizi zina siri nyingi....ila MIPETE MIKUUUUUBWA KWENYE VIDOLENI.....
 
Leo vua nguo zote mwandalie chakula kitamu akipendacho,mpeleke bafuni msugue mgongo,mfanyie masaji,mfute maji mpakae mafuta usisahau kumasaji eneo takatifu..asipokula mzigo yeye hanith..muache nikupe mume wangu
 
Kwa kifupi:

Pole sana kwa yote yanayokukabili but amini usiamini hali hiyo nawe pia umechangia kwa 50% ... kumbuka, wanaume ni viumbe very sensitive na mchanganyiko wa nature na saikolojia mara nyingi haupo upande wetu so huwa tunahitaji sana msaada wenu to make things happen.

Ushauri:
1. Kabla hujaanza kumwangalia mumeo na kumchunguza hebu jaribu kujichunguza mwenyewe especially baada ya kujifungua; Una adabu?Una muheshimu mumeo vya kutosha?Huna kiburi na dharau? Ukiacha mtoto, unajitahidi ku-maintain hali aliyokukuta nayo mwanzo i.e Usafi, utundu na urembo? Au baada ya ndoa na mtoto then umeamua kuwa 'mama' ... mwisho, mmewahi kuwa na ugomvi ulioisha bila wewe kukiri na kuomba msamaha?
.........Kama hapo juu mambo sio shwari, then rekebisha kwanza kwani mojawapo kati ya hayo, linaweza kuwa ndio linalosababisha yote yanayokukabili!

2. Kama yote hapo juu yapo poa, then waweza jaribu mambo mawili;
(a) Anza ku-initiate ::: Acha kuzubaa, hakuna kitu kina turn-on wanaume wengi kama mnapoanzisha sex, acha kukaa tu ukisubiri yeye kila siku aje akubembeleze na kukuomba ... tatizo lipo wapi ukampikia chakula akipendacho, jioni akija ukaanza naye mlangoni, sebuleni then ukammaliza (Thats what mine always do).
(b)Zungumzeni ::: Sidhani hili nalo unahitaji kushauriwa, acha kumjibia maswali, mweke chini then muulize kwa heshima na adabu then kama ana tatizo tafuta jinsi ya kumsaidia, usiwe kama wale wanaoamini 'mwanaume' huwa hashindwi kitu ....

(Ni maoni binafsi)
Matege chukua huu ushauri, utakuja kukusaidia mbeleni
 
Last edited by a moderator:
we una mtoto mhanga wa miezi minne halafu unasema una miezi tisa haujashirriki mapenzi?!!! loh
 
Back
Top Bottom